Posted on: January 12th, 2018
Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu, Salumu A. Palango akichimba msingi kwa ajili ya ujenzi wa madarasa katika Shule ya msingi Namatumbusi kata ya Mikangaula katika kuazimisha kilele cha siku ya...
Posted on: January 10th, 2018
Chama cha wakulima Nanyumbu AMCOS tayari kimelipwa Shilingi 54,807,500/= za mauzo ya msimu wa 2016/2017. Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu ndugu, Salumu A. Palango amesema kuwa Nanyumbu AMCOS ni cha...
Posted on: January 9th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu yajipanga kuzalisha Zaidi Korosho katika msimu huu wa kilimo mwaka 2018. Ndugu, Hassani N. Mmbaga kwenye picha ambaye ni Mratibu wa Korosho Wilaya ya Nanyumbu amesema...