Tovuti italinda faragha na usalama wa wanaotembelea, haitokusanya wala kutoa taarifa binafsi wakati unapotembelea tovuti yetu isipokuwa kwa uamuzi binafsi wakutoa taarifa.
Tovuti hii ina viungo kwenda tovuti nyingine za serikali ambazo kwa namna moja ama nyingine zimetofautiana kwenye ulinzi wake wa data na kanuni za faragha za tovuti hizo na tunakushauri uangalie ilani za faragha za tovuti hizo kabla hujatumia.
Mabadiliko ya Sera ya Faragha
Kukitokea mabadiliko yoyote katika sera hii, tutaweka taarifa iliyohusishwa mara moja katika ukurasa. Aidha , tunashauri upitie ukurasa huu mara kwa mara na kusoma taarifa zilizohusishwa ili kupata uelewa wa mabadiliko ya sera yetu.
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.