• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Maadili ya Msingi

MAADILI YETU


Maadili kwa Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu yameainishwa kama ifuatavyo:-


  • Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wanapaswa kutimiza majukumu yao kwa ubora zaidi, kwa kujituma, nidhamu, uadilifu, uaminifu na uwazi.


  • Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wanapaswa kuepuka migogoro yao binafsi ndani ya Halmashauri, wajitume wenyewe na kufuata sheria, kanuni na taratibu wakati wote wa kutekeleza majukumu yao.


  • Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wasiwe na upendeleo, wizi na wawe waaminifu na wayalinde maadili ya Halmashauri.


  • Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wanapaswa kushiriki kikamilifu kwenye shughuli zote za Halmashauri zikiwemo kukusanya maduhuri/mapato, usafi wa mazingira ya mji na shughuli nyingine kwa manufaa ya Halmashauri.


  • Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbyu wanapaswa kutii matakwa ya Sheria Na. 7 ya mwaka 1982 na sehemu ya 20A ya Sheria Na. 10 ya mwaka 1982.


  • Utendaji unaozingatia matokeo-kuzingatia tija katika utoaji huduma za jamii.


  • Matumizi bora ya taarifa za kikazi. Waheshimiwa Madiwani na Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu hawaruhusiwi kutumia taarifa za serikali kwa masilahi binafsi au kuzitoa kwa wasiohusika.


  • Kufanya kazi kwa ushirikiano na wadau wote katika utendaji kazi na heshima kwa wote bila kujali anuai za jamii (Jinsia, ulemavu n.k).

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • FUM Nanyumbu Yavunja Rekodi ya Mapato na Kuandika Historia Mpya ya Miradi

    June 18, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.