• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

UZIDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA NANYUMBU WAFANYIKA KWA AMANI NA UTULIVU.

Posted on: December 2nd, 2025

Na, Ofisi ya Mwasiliano Serikalini..

Baraza jipya la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu limezinduliwa rasmi tarehe 2 Desemba 2025 katika ukumbi wa Shule ya Wasichana Mkapa. huku viongozi mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo wakitoa Pongezi na  maelekezo mahsusi kuhusu utekelezaji wa shughuli za serikali na wajibu wa madiwani katika usimamizi wa shughuli za wananchi..

Mapema, akizindua mkutano huo maalum, Katibu Tawala wa Wilaya, Ndugu Juma Kanyinda, aliwaasa madiwani wapya kutambua jukumu kubwa lililo mbele yao: kuhakikisha halmashauri inasonga mbele kwa kusimamia uwajibikaji na kuboresha huduma kwa wananchi.

Aidha, alimtangaza rasmi Mhe  Benjamin R, Masimbo (Diwani wa Kata ya Masuguru) kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri, na Mhe. Shafii Mnaunda, (Diwani wa Kata ya kilimanihewa ) kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri, walioteuliwa kwa kura za madiwani katika uzinduzi huo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mhe. Christopher Magala, alisisitiz

dhima ya uwajibikaji na mshikamano kati ya madiwani na watendaji wa kata. Aliwataka madiwani kuwaelimisha vijana kujiepusha na makundi maovu na badala yake kujikita katika shughuli za kiuchumi na maendeleo.

 “Kasimamieni kwa dhati huduma za wananchi kama afya, elimu na usimamizi wa miradi. Waelimisheni vijana wajiepushe na makundi maovu na washiriki kikamilifu katika kujenga uchumi wa taifa.”Alisema mhe magala

Baraza hilo linaundwa na jumla ya madiwani 23, wakiwemo madiwani wa kuchaguliwa 16, viti maalum 6 pamoja na mbunge wa jimbo. Ambapo Wote wanatokana na Chama Cha Mapinduzi (CCM), jambo linalodhihirisha mshikamano wa kisiasa katika halmashauri Nanyumbu.

Akihitimisha mkutano, Mhe.Benjamin Masimbo  aliwapongeza madiwani wote kwa kuaminiwa na wananchi, akiwataka kutimiza matumaini na imani ya wapiga kura kwa kusimamia ipasavyo shughuli za maendeleo.

 “Pongezi kwa Waheshimiwa Madiwani wote. Tumeteuliwa na kuaminiwa na wananchi; twendeni tukatimize matumaini yao kwa kuwaletea maendeleo. Baraza hili lina jukumu kubwa mbele yake, hasa kuhakikisha linashughulikia kwa dhati shughuli zote za kimaendeleo.”alisema mhe.Masimbo

Matangazo

  • Tangazo la Kuhudhuri Mafunzo ya Uchaguzi Jimbo la Nanyumbu October 21, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • UZIDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA NANYUMBU WAFANYIKA KWA AMANI NA UTULIVU.

    December 02, 2025
  • KAMATI YA PHC NANYUMBU YAJADILI MLIPUKO WA KIPINDUPINDU NA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NAO.

    October 28, 2025
  • Wasimamizi wa Vituo vya Kupigia Kura Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Oktoba 29

    October 26, 2025
  • Makarani Waongozaji Wapiga Kura Nanyumbu Waaswa Kutekeleza Majukumu kwa Uadilifu

    October 25, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.