• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Maendeleo ya Jamii-

IDARA YA MAENDELEO YA JAMII

Idara ya Maendeleo ya jamii inajumuisha vitengo viwilii ambavyo ni Maendeleo ya Jamii na Vijana.

MAJUKUMU YA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII.

  • Kuhakikisha kunakuwepo na ushiriki wa kutosha wa wadau wote wa Maendeleo katika kutekeleza program mbalimbali za Maendeleo ya Jamii.
  • Kuamsha ari ya Jamii kushiriki katika kupanga, kuamua, kutekeleza na kuchangia maendeleo yao kwa kutumia fursa na rasilimali zilizopo.
  • Kuhakikisha kunakuwepo  ushirikishwaji wa kutosha wa wananchi katika program mbalimbali za Kitaifa zenye msukumo wa Maendeleo.
  • Kuwezesha makundi mbalimbali katika jamii kama watoto, vijana, na wanawake kupata fursa ya kutoa mawazo yao katika kujadili changamoto za maendeleo zinazogusa mahitaji ya makundi yao na jamii kwa ujumla.
  • Kuwezesha jamii kujiajiri kwa kuunda vikundi vya kiuchumi ili kuweza kukuza mitaji, kuweka akiba, kuinua kipato cha familia na hatimae jamii kujijengea uwezo wa kuchangia katika shughuli za maendeleo.
  • Kuelimisha jamii kulinda na kuendeleza mila na desturi zenye kujenga maadili bora ya jamii ili hatimae jamii iweze kutambua na kuachana na mila na desturi potofu.
  • Ukusanyaji Muhimu wa Takwimu za jamii.
  • Kusimamia na kuratibu shughuli za maendeleo zinazotekelezwa na mashirika yasiyo ya Kiserikali.(NGO’s).
  • Kuwezesha Mchakato wa usajili wa Mashirikia yasiyo ya Kiserikali kwa kukagua na kutoa maelekezo yanayokidhi zifa za usajili.

HIV/AIDS PROGRAMME

  • Mafunzo ya VICOBA kwa watu wanaoishi na virus vya UKIMWI(WAVIU)
  • Kuhakikisha tathmini ya hali halisi ya VVU na UKIMWI katika Halmashauri inafanyika na kuweka mikakati ya Kila mwaka.
  • Kuhamasisha kuunda
  • Kutoa taarifa za shughuli za VVU na UKIMWI kwenye kikao cha Baraza la Madiwani(Full Council)/
  • Kupitiaa taarifa za uratibu zinazofanywa na Kata na Mitaa ili kutoa ushauri wa namna ya kuimarisha na kuongeza ufanisi.
  • Kuratibu, kufuatilia na kutathmini utekelezaji wa shughuli za VVU na UKIMWI zilizopangwa.
  • Kutambua na kutathmini shughuli za wadau mbalimbali wanaotekeleza afua za VVU, na UKIMWI katika Halmashauri. Vikundi vya WAVIUna wajane.
  • Kuhakikisha mipango yote ya UKIMWI na wadau wanaotekeleza  Katika Halmashauri inaingizwa kwenye Mpango Mkakati wa UKIMWI wa Halmashauri na Mkoa ili kuondoa urudufu wa juhudi na rasilimali.
  • Kuhakikisha sera, Mkakati wa Taifa wa kudhibiti UKIMWI, sheria, Miongozo na matokeo ya tafiti mbalimbali ya masuala ya UKIMWI yanawafikia wadau na wananchi kwa ujumla.
  • Kutoa ushauri kwa ngazi inayohusika kuhusu Sera au sheria ndogo juu ya udhibiti wa VVU na UKIMWI.
  • Kuhakikisha uwepo wa orodha ya wadau hai wa Masuala ya UKIMWI.



DAWATI LA MAAFA

  • Kuratibu shughuli za Maafa ngazi ya Manispaa na kushauri hatua za kuzuia,kujiandaa,kukabili na kurudisha hali.
  • Kutambua maafa yanayoathiri Manispaa.
  • Kushiriki katika Tafiti mbalimbali zinazohusu maswala ya Maafa,zikiwemo tathmini za  hali ya chakula katika Manispaa na wadau wengine.
  • Kutoa elimu kwa Umma juu ya masuala ya Afya.
  • Kuwa kiungo (bridge) kati Mkoa na Mamlaka nyingine kuhusu masuala ya Maafa.
  • Kushiriki vikao vya Kamati ya Maafa vya Manispaa.
  • Kuwasilisha taarifa za Maafa kwa Mamlaka nyingine (OWMN, TAMISEMI,SEKTA  n.k)

MRATIBU WA VIKUNDI VYA UCHUMI VYA WANAWAKE NA VIJANA.

  • Kupunguza umaskini ka ti ya vijana na wanawake wanaoishi katika mazingira hayo.
  • Kukuza vikundi vya ujasiriamali
  • Kuumba ajira kwa wanawake na vijana
  • Kutoa mikopo nafuu kwa wanawake na vijana.

WANAWAKE NA VIJANA

  • Kuwawezesha wanawake na vijana kupata mikopo kupitia mfuka wa wanawake na vijana.
  • Kuweza kutenga Fedha kwa ajili ya mfuko wa wanawake na vijana jumla ya Tsh 4,516,351,148 zimetengwa na kunufaisha wanawake na vijana.
  • Kuwezesha watu 11,613 kujiajiri ambapi wanawake ni 8,757 na vijana ni 1,270 walemavu 326, na watu wengine binafsi ni 1,250. Waliweza kupata mikopo ya Masharti.
  • Kuwezesha vikundi 16 vya akina mama wajasiriamali kushiriki maonesho ya Kimataifa yanayofanyika kila mwaka katika nchi za Africa.

HUDUMA   ZITOLEWAZO NA IDARA YA MAENDELEO YA JAMII NA VIJANA.

 JINSI ZINAVYOPATIKANA.

  • Cheti za Utambuzi wa Vikundi.
  • Taratibu za usajili wa NGO’S na utambulisho wa NGO’S.
  • Vipengele Muhimu katika uandaaji wa Katiba
  • Kupokea wanafunzi wa Field (Mafunzo kwa vitendo)
  • Fomu mbalimbali anazopewa Mwananchi kujaza anapotaka huduma.
  • Usajili wa vikundi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.