• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

WATUMISHI TARAFA YA NANYUMBU WAFURAHIA UTALII WA NDANI LUKWIKA–LUMESULE.

Posted on: December 8th, 2025


Watumishi kutoka Tarafa ya Nanyumbu, Wilaya ya Nanyumbu, Tarehe 6 Desemba 2025 wamefanya ziara ya Utalii wa Ndani katika Hifadhi ya Lukwika–Lumesule iliyopo wilayani humo.

Ziara hiyo maalum iliandaliwa na Afisa Tarafa wa Nanyumbu, Ndugu Livinus Nchimbi, ikiwa na lengola kutangaza utalii wa ndani pamoja na kutoa nafasi kwa watumishi kupumzika na kuimarisha mshikamano baada ya majukumu ya kila siku ya kulijenga Taifa.

Aidha ziara iyo ilikuwa ni tekelezo la Ahadi yaNdugu Nchimbi alilolitoa katika kikao kazi alichofanyika tarehe 24 Novemba na watumishi hao.  Kupitia ziara hiyo, watumishi wamepata fursa ya kuongeza uelewa juu ya dhana ya utalii wa ndani na umuhimu wa kuhifadhi rasilimali za taifa kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Miongoni mwa vivutio vilivyoacha kumbukumbu ya kipekee kwa watumishi ni Pango la Habiba, lenye historia adimu na linalojulikana pia kuwa eneo la kutatua migogoro ya kifamilia.

Kwa upande mwingine, watumishi walipata kuona aina mbalimbali za wanyama wanaopatikana ndani ya hifadhi hiyo.

Kwa yeyote anayetamani kujifunza historia ya Pango la Habiba pamoja na vivutio vingine, ziara katika Hifadhi ya Lukwika–Lumesule ni fursa muhimu.

Mwisho wa ziara hiyo, watumishi walionesha furaha kubwa na wengi wao wakaomba ziara kama hiyo irudiwe mara kwa mara.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA November 26, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • MHE. SAWALA AWATAKA WAZAZI NA WALEZI KUHAKIKISHA WATOTO WENYE SIFA WARIPOTI SHULENi.

    January 16, 2026
  • WATUMISHI TARAFA YA NANYUMBU WAFURAHIA UTALII WA NDANI LUKWIKA–LUMESULE.

    December 08, 2025
  • UZIDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA NANYUMBU WAFANYIKA KWA AMANI NA UTULIVU.

    December 02, 2025
  • KAMATI YA PHC NANYUMBU YAJADILI MLIPUKO WA KIPINDUPINDU NA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILIANA NAO.

    October 28, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.