• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MKOA WAFANYA KIKAO KAZI NANYUMBU KUJADILI VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA WATOTO WACHANGA.

Posted on: January 16th, 2026


Wataalamu wa afya ngazi ya mkoa wa Mtwara wafanya kikao kazi maalum cha kujadili vifo vitokanavyo na uzazi pamoja na vifo vya watoto wachanga, kwa lengo la kutathmini hali ya sasa, kuchambua takwimu na kuboresha mikakati ya kuzuia vifo vinavyozuilika.

Kikao hicho kinafanyika katika Ukumbi wa Mkapa Girls, Uliopo Wilaya ya  Nanyumbu, na kuongozwa na Kaimu  Mganga Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Dr. Salum Gembe, ambaye amekuwa Mwenyekiti wa kikao.

Akifungua kikao hicho, Dr. Gembe amesema kuwa lengo kuu la kikao ni kuchambua kwa kina takwimu za vifo hivyo  vilivyotokea, kujadili sababu zake na kujifunza namna bora ya kuimarisha utoaji wa huduma za afya ya mama na mtoto ili kuzuia vifo vinavyoweza kuzuilika.

Akiwasilisha taarifa ya vifo vitokanavyo na uzazi na watoto wachanga, Mratibu wa Huduma za Afya ya uzazi na Mtoto Kanda ya Kusini, Bi. Sophia Mchinjita , amesema kuwa mkoa wa Mtwara umeendelea kupunguza vifo vitokanavyo na uzazi. Ameeleza kuwa vifo hivyo vimepungua kwa zaidi ya 50% kutoka vifo 69 mwaka 2024 hadi vifo 38 mwaka 2025. Na kwa Upande wa  Wilaya ya Nanyumbu vifo  vitokanavyo na uzazi vimepungua kwa 71%, kutoka vifo 7 hadi vifo 2.

Aidha, vifo vya watoto wachanga mkoani Mtwara vimepungua kutoka vifo 540 mwaka 2024 hadi vifo 391 mwaka 2025. Amebainisha kuwa kupungua kwa vifo hivyo kunatokana na jitihada za Serikali kuboresha miundombinu ya huduma za afya, kuongeza watumishi wenye ujuzi, kuimarisha upatikanaji wa vifaa tiba na dawa, pamoja na juhudi za mkoa na halmashauri katika kuwajengea uwezo watumishi wa afya na kufanya ufuatiliaji wa karibu wa huduma zinazotolewa.

Kwa upande wake, Kaimu Muuguzi Mkuu wa Mkoa, Ndg, Stanuel Daniel Kosani, ametoa taarifa ya Utekelezaji wa maazimio ya kikao kilichopita amesema kuwa halmashauri zote zimetekeleza maazimio kwa kiwango kikubwa. zote zimevuka lengo la ukusanyaji wa damu, jambo ambalo ni moja ya mahitaji muhimu katika kuzuia vifo vitokanavyo na uzazi.

Matangazo

  • TANGAZO LA AJIRA November 26, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MKOA WAFANYA KIKAO KAZI NANYUMBU KUJADILI VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA WATOTO WACHANGA.

    January 16, 2026
  • MHE. SAWALA AWATAKA WAZAZI NA WALEZI KUHAKIKISHA WATOTO WENYE SIFA WARIPOTI SHULENi.

    January 16, 2026
  • WATUMISHI TARAFA YA NANYUMBU WAFURAHIA UTALII WA NDANI LUKWIKA–LUMESULE.

    December 08, 2025
  • UZIDUZI WA BARAZA LA MADIWANI WILAYA YA NANYUMBU WAFANYIKA KWA AMANI NA UTULIVU.

    December 02, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.