• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yawavutia washiriki Nanenane Kanda ya Kusini - Lindi

Posted on: August 3rd, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali (kushoto) akitazama bidhaa mbalimbali za wajasiliamali katika banda la Nanyumbu kwenye maonyesho ya nanenane


Na, Lunanilo L. Ngela
Maonyesho ya wakulima Nanenane kwa mwaka 2020 Kanda ya Kusini yamefunguliwa rasmi Agosti 03, katika viwanja vya Ngongo mkoani Lindi ambayo yanahusisha mikoa ya Mtwara na Lindi.

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, ni miongoni mwa Halmashauri zilizoshiriki kikamilifu maonyesho hayo kwa kuonyesha bidhaa na mazao mbalimbali yatokanayo na kilimo, mifugo na uvuvi. Aidha, katika maonyesho hayo washiriki kutoka Nanyumbu wameonyesha ujuzi na uwezo wao mkubwa katika nyanja mbalimbali ikiwemo ufundi, ususi, ufugaji, uvuvi na kilimo.

Ukitembelea banda la Nanyumbu utaona na kujifunza vitu mbalimbali ikiwepo namna ya kuzalisha mazao mbalimbali ikiwemo matunda, ufuta, alizeti, mahindi, mbogamboga na aina mpya ya kabichi nyekundu. Aidha, utajifunza namna ya kufuga samaki, kuzalisha vifaranga vya kuku ikiwa ni pamoja na kupata bidha za ususi ikiwemo vikapu vya asili na kofia.

Maonyesho ya wakulima nanenane kanda ya kusini Lindi yanatarajia kufungwa ifikapo tarehe 08/08/2020.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili June 11, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • RC Sawala Apongeza Ujenzi wa Shule ya Sekondari Kilimanihewa, Awataka Wananchi Kuendeleza Ushirikiano

    June 11, 2025
  • DC Magala Afungua Mafunzo ya Jeshi la Akiba Nanyumbu

    June 10, 2025
  • "Tutachukua Hatua Kali kwa Watakaohujumu Wakulima" DC Magala

    June 09, 2025
  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.