Posted on: July 17th, 2020
Na, Lunanilo L. Ngela
Katika kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani nchini Tanzania, wagombea ubunge 17 wa Jimbo la Nanyumbu kupitia Chama Cha Mapinduzi waliochukua fomu wamezirejesha ...
Posted on: July 10th, 2020
Katika picha ni Mkuu wa Wilaya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali akiwa katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Nanyumbu
Na, Lunanilo L.Ngela
Nanyumbu ni miongoni mwa Halmashauri 86 nchini...
Posted on: July 8th, 2020
Mikoa ya Mtwara na Pwani imeuza ufuta katika mnada uliofanyika leo kwa mfumo wa Kielektroniki.
Katika mnada huo Wilaya ya Nanyumbu kupitia ghala la Kenoshukuru imeuza Kg 481,657 za ufuta. Aidha ufu...