• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

UZINDUZI WA ZOEZI LA UTOAJI WA MIKOPO YA ASILIMIA 10 KATIKA HALMASHAURI YA NANYUMBU.

Posted on: January 28th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu  Mhe. Christoher Edward Magala ( Wapili kutoka Upande wa Kulia) amezindua Rasmi zoezi la utoaji wa Mikopo ya Asilimia 10 kwa Vikundi vya Wanawake , Vijana na Watu wenye ulemavu , ambazo ni Fedha za Mapato ya ndani ya Halmashauri na kutoa Hundi  yenye thamani ya Shilingi Milioni Mia Nne Ishirini na Sita Laki Saba na Elfu Sabini na Tano tu, (426,775,000).

Uzinduzi huo umefanyika leo Jumatatu tarehe 27 Januari  katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Mkapa Girls iliyopo Kata ya Mangaka  Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu, ikiwa vikundi 102 vilivyokidhi vigezo Katika Uwakiki vimepata mikopo hiyo kwa mchanganuo wa 49 Wanawake,48 Vijana na 5 Walemavu. sambamba na Ugawaji wa  Vitambulisho kwa Wajasiriamali waliokidhi vigezo.

 Nawapongeza sana Vikundi vyote , Fedha hizo mkazitumie kulingana na Malengo mliyojiwekea . Halmashauri imetoa  Fedha kiasi cha Milioni  Mia Nne Ishirini na Sita Laki Saba na Elfu Sabini na Tano (426,775,000/=) kwa makundi matatu , Wanawake , Vijana na Watu wenye Ulemavu, mkazitumie vizuri Ili mkatimize Malengo yenu Sambamba na Kurejesha Marejesho kwa Wakati. Alisema Mhe. Magala


Aidha, Mhe. Magala Aliwataka Maafisa Maendeleo Ambao wanaoshughulikia Mikopo kuendelea kutoa Elimu na kutembelea mara kwa mara katika maeneo ya Vikundi hivyo kuhakikisha shughuli wanazofanya zinaleta tija. Nakushauri kuwepo na Uboreshaji Katika Utoaji wa Mikopo hiyo kwa kuwapa  Vifaa wanavikundi hao ili kuleta ufanisi Zaidi.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.