• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wajengewa Uwezo Kusimamia Uchaguz Novemba 27, 2024

Posted on: September 30th, 2024

Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Juma Njaro (wa tatu kushoto) akizungumza na washiriki wa mafunzo

Na, Lunanilo Ngela

Wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata na vijiji katika Wilaya ya Nanyumbu wamepatiwa mafunzo maalum yanayolenga kuwajenga uwezo wa kutekeleza na kusimamia shughuli za uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27 2024.

Akifungua mafunzo hayo yaliyofanyika Septemba 30, 2024, Msimamizi wa Uchaguzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Ndugu Juma Rajabu Njaro, amesema kuwa nafasi waliyopewa wasimamizi hao ni nyeti na inahitaji umakini mkubwa ili kuhakikisha uchaguzi unafanyika kwa uwazi na ufanisi. Aidha, aliwasihi kuzingatia maadili, uwajibikaji, na weledi katika maandalizi na utekelezaji wa mchakato mzima wa uchaguzi.

Njaro alieleza kuwa uchaguzi wa serikali za mitaa ni tukio muhimu la kikatiba, kama ilivyotangazwa na Waziri wa TAMISEMI, Mheshimiwa Mohamed Omary Mchengerwa, tarehe 15 Agosti 2024. Wilaya ya Nanyumbu imetenga jumla ya vituo 526 vya kuandikisha na kupigia kura, ambapo kila kitongoji kitakuwa na kituo chake cha kupigia kura.

Katika mafunzo hayo, washiriki walipewa elimu kuhusu kanuni, taratibu, na miongozo ya uchaguzi, pamoja na jinsi ya kujaza fomu mbalimbali zitakazotumika katika mchakato wa uchaguzi. Njaro alisisitiza umuhimu wa kufuatilia mafunzo hayo kwa makini ili kuepuka makosa yanayoweza kuhatarisha utaratibu mzima wa uchaguzi.

Zoezi la uandikishaji wapiga kura litafanyika kuanzia tarehe 11 hadi 20 Oktoba 2024 katika vituo vilivyopangwa. Aidha, fomu za kugombea nafasi za uongozi wa vijiji, wajumbe wa halmashauri za vijiji, na wenyeviti wa vitongoji zitatolewa kuanzia tarehe 1 hadi 7 Novemba 2024.



Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.