• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

UZINDUZI WA MAADHIMISHO YA WIKI YA SHERIA KATIKA WILAYA YA NANYUMBU.

Posted on: January 27th, 2025

Na, Airin Lipuka


Mahakama ya Wilaya ya Nanyumbu imefanya matembezi ya Amani ya Kilometa tatu ya kushiriki  uzinduzi wa wiki ya Sheria yaliyoongozwa na Mgeni  Rasmi Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mhe. Christopher Magala yaliyoanzia mahakama ya Wilaya Nanyumbu hadi katika Viwanja vya Mangaka Amcos.


Matembezi hayo yalihudhuriwa na Majaji wa Mhakama,  Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Ndugu Ibrahim Mwanauta, Viongozi wa Dini, Mahakama  na Wasaidizi wa sheria, Watumishi wa Mahakama, watumishi wa Tasisi za Umma, wakuu wa Idara ya Halmashauri ya Nanyumbu wadau na wananchi wa ndani na Nje ya Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu kwa kauli Mbiu isemayo TANZANIA YA 2050 NAFASI YA TAASISI ZINASIMAMIA HAKI MADAI KATIKA KUFANYA MALENGO MAKUU YA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO.


Akizingumza katika uzinduzi huo, Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu  Mhe. Christopher Magala Alisema kuwa Mahakama ni sehemu ya Mhimili Muhimu Unaotekeleza  Maendeleo Nchini hivyo kupitia Matembezi ya ufunguzi wa wiki ya sheria, Amewataka   watumishi wote  wa Mahakama Kutenda haki  kama ilivyo kauli mbiu ya Mahakama  isemayo Uadilifu, Weledi na Uwajibikaji ili kutimiza malengo yaliyokusudiwa. Aliwakumbusha pia Wananchi Kuwepo kwa KAMPENI YA KITAIFA YA MAMA SAMIA Ambayo kwenye Mkoa wa Mtwara Ilianza  tarehe 24, Januari na kuisha Tarehe 02/2/2025 na  katika Halmashauri ya Nanyumbu imezinduliwa leo tarehe 27/1/2025 mpaka tarehe 3/2/2025 na Timu ya Halmashauri  inapita kwenye kata na vijiji kwa Dhumuni ya kutoa sheria na Huduma Hivyo Wananchi tujitokeze.

Aidha, DC Magala alitumia nafasi  hiyo kuwakumbusha Wananchi  kuhusu kujitokeza kwenda  kujiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga  kura  litakaloanza tarehe 28/2025 hadi tarehe 3/2/2025. Alieleza pia hiyo ni fursa kwa wanaichi waliopoteza vitambulisho, waliobadilisha maeneo ya makazi sambamba na ambao hawakufikisha Umri wa miaka kumi na nane (18) mwanzo lakini kwa sasa wamefikisha.

Naye, HakimuMkazi  Mfawidhi wa  Wilaya ya Nanyumbu mhe. Asifiwe Crispo Jembe alimalizia kwa kusema utoaji wa Elimu na huduma ya  sheria bado ni endelevu kwa Halmashauri ya Nanyumbu Mpaka tarehe 3/2/2025 hivyo wanainchi wajitokeze kwa ajili ya kupata huduma hiyo na Elimu hiyo ya sheria.

meza kuu katika picha ya pamoja na baadhi ya wakuu wa idara ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.