• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU YAZINDUA RASMI ZOEZI LA UPANDAJI MITI.

Posted on: February 9th, 2026

Na, Kitengo cha Mawasiliano Serikalini.

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu imezindua rasmi zoezi la upandaji miti katika Shule ya Sekondari Mkonona iliyopo Kata ya Mkonona, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kulinda mazingira na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi.

Uzinduzi huo umefanyika chini ya uongozi wa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mhe. Christopher Edward Magala, ambaye aliwahimiza wananchi, taasisi na wadau mbalimbali kushiriki kikamilifu katika zoezi la upandaji na utunzaji wa miti. Mhe. Magala alisisitiza kuwa kila mwananchi anapaswa kupanda angalau miti mitano (5) kama mchango wake binafsi katika uhifadhi wa mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.

Akizungumza katika hafla hiyo, Mkuu wa Idara ya Maliasili ya Wilaya ya Nanyumbu, Bw. William Bujiku, aliwasilisha taarifa ya utekelezaji wa zoezi la upandaji miti kwa mwaka wa fedha 2024/2025, ambapo jumla ya miche 140,000 ilifanikiwa kupandwa katika maeneo mbalimbali ya wilaya hiyo.

Bw. Bujiku alieleza kuwa katika mwaka wa fedha 2025/2026, Halmashauri imejipanga kupanda jumla ya miche 260,000 kwa kushirikiana na jamii, taasisi za umma na binafsi, pamoja na wadau wa maendeleo, ikiwa ni mwendelezo wa jitihada za kuhifadhi mazingira na rasilimali za asili.

Aidha, alibainisha kuwa hadi sasa jumla ya miche 16,000 tayari imeshatolewa kwa wananchi, shule za msingi na sekondari, TARURA, hospitali pamoja na taasisi za dini, lengo likiwa ni kuhamasisha ushiriki wa jamii katika kulinda mazingira.

Hata hivyo, Bw. Bujiku alitaja changamoto zinazoikabili Wilaya ya Nanyumbu katika uhifadhi wa mazingira, zikiwemo ukataji ovyo wa miti, uchomaji moto wa misitu, mabadiliko ya tabianchi pamoja na uharibifu wa vyanzo vya maji.

Kwa upande wake, Mhe. Magala alisisitiza umuhimu wa kuchukua hatua za haraka na makusudi kukabiliana na changamoto hizo, akitoa wito kwa wananchi wote kushiriki kikamilifu katika upandaji na utunzaji wa miti ili kuhakikisha mazingira yanahifadhiwa kwa ustawi wa jamii na maendeleo endelevu.

Uzinduzi wa zoezi hili la upandaji miti ni sehemu ya jitihada endelevu za Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu katika kulinda mazingira, kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi, na kuendeleza utamaduni wa uhifadhi wa rasilimali za asili kwa manufaa ya wote.

Matangazo

  • TANGAZO LA JKT WILAYA YA NANYUMBU. January 24, 2026
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU YAZINDUA RASMI ZOEZI LA UPANDAJI MITI.

    February 09, 2026
  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MKOA WAFANYA KIKAO KAZI NANYUMBU KUJADILI VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA WATOTO WACHANGA.

    January 16, 2026
  • MHE. SAWALA AWATAKA WAZAZI NA WALEZI KUHAKIKISHA WATOTO WENYE SIFA WARIPOTI SHULENi.

    January 16, 2026
  • WATUMISHI TARAFA YA NANYUMBU WAFURAHIA UTALII WA NDANI LUKWIKA–LUMESULE.

    December 08, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.