• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

NANYUMBU DC YAFANYA MKUTANO WA ROBO YA PILI WA BARAZA LA MADIWANI.

Posted on: February 10th, 2026


Na: Kitengo cha Habari na Mawasiliano Serikalini (H/W) – Nanyumbu

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, Februari 10, 2026, limekutana kujadili na kupitia taarifa za utekelezaji wa shughuli za maendeleo kwa robo ya pili ya mwaka wa fedha 2025/2026. Mkutano huo umefanyika ikiwa ni sehemu ya wajibu wa kisheria wa Baraza la Madiwani kusimamia matumizi ya rasilimali za umma na kuhakikisha utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri.

Katika mkutano huo, taarifa za Kamati za Kudumu za Halmashauri pamoja na zile za taasisi za umma zikiwemo TAWA, RUWASA na TARURA  n.k ziliwasilishwa na kujadiliwa kwa kina. Madiwani walitoa maoni, ushauri, waliuliza maswali na kutoa mapendekezo mbalimbali kwa lengo la kuimarisha usimamizi na utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa manufaa ya wananchi.

Akiongoza mkutano huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Benjamini Masimbo, amewataka watendaji kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa wakati ili kuboresha huduma kwa wananchi. Aidha, amezitaka taasisi za umma kutekeleza majukumu yao kwa weledi na kwa kuzingatia sheria na taratibu

Kwa upande wake, Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Magala, amesisitiza umuhimu wa wananchi kujiorodhesha kwenye daftari kwa lengo la kuimarisha swala la ulizi na usalama, kukamilisha miradi ya maendeleo kwa wakati, pamoja na kuimarisha ufuatiliaji wa mahudhurio ya wanafunzi shuleni.

Naye Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Nanyumbu  Rashidi A, Mrope ametoa wito kwa watendaji wote wa Halmashauri, Taasisi za Umma kufanya kazi kwa bidii na kwa kuzingatia Ilani ya Chama cha Mapinduzi kama mwongozo wa utekelezaji wa shughuli za maendeleo.

Matangazo

  • TANGAZO LA JKT WILAYA YA NANYUMBU. January 24, 2026
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • NANYUMBU DC YAFANYA MKUTANO WA ROBO YA PILI WA BARAZA LA MADIWANI.

    February 10, 2026
  • HALMASHAURI YA WILAYA YA NANYUMBU YAZINDUA RASMI ZOEZI LA UPANDAJI MITI.

    February 09, 2026
  • WATAALAMU WA AFYA NGAZI YA MKOA WAFANYA KIKAO KAZI NANYUMBU KUJADILI VIFO VITOKANAVYO NA UZAZI NA WATOTO WACHANGA.

    January 16, 2026
  • MHE. SAWALA AWATAKA WAZAZI NA WALEZI KUHAKIKISHA WATOTO WENYE SIFA WARIPOTI SHULENi.

    January 16, 2026
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.