• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

BARAZA LA MADIWANI NANYUMBU LAKETI KUJADILI TAARIFA ZA MAENDELEO YA KATA KWA ROBO YA PILI 2024/2025.

Posted on: January 26th, 2025

Na, Airin Lipuka


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Benjamin Masimbo mapema januari 24/2025 ameongoza Mkutano wa Baraza La Madiwani uliofanyika katika ukumbi wa Maktaba katika shule ya sekondari Naishero ili kupokea na kujadili taarifa za wenyeviti wa kamati za maendeleo ya kata katika robo ya pili 2024/2025.

Wajumbe wa Mkutano huo walijadili taarifa za kata 17 za Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu na Kamati za kudumu za Halmashauri, ikiwemo kamati ya fedha, utawala na mipango, kamati ya elimu,afya na maji, kamati ya kudumu za uchumi, ujenzi na mazingira pamoja na kamati ya kudhibiti ukimwi , Pamoja na taarifa za taasisi mbalimbali ikiwemo TANESCO, TARURA huku wakitoa maelekezo mbalimbali kwa kata, kamati na taasisi hizo ili kuhakikisha maendeleo yanapatikana kwa haraka.

Katiika Mkutano huo Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Mhe Benjamin Masimbo alipata nafasi ya kujibu Maswali ya papo kwa papo kutoka kwa wajumbe wa Mkutano na wajumbe Kuridhishwa na majibu hayo. Pia Mwenyekiti wa mkutano alipokea wazo kutoka kwa Diwani wa Kata ya Kamundi Mh Elevan Sylivesta Musa kuhusu kwenda kutembelea mradi wa maji wa mto Ruvuma (chanzo chake kipo Masuguru na tanki lipo Sengenya) kwa ajili yakuoona Maendeleo yake.

Aidha, Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu mhe. Christopher Magala Alitumia nafasi aliyopewa na mwenyekiti wa Mkutano huo kuhimiza mambo mbalimbali, ikiwemo Kusimamia uripoti wa watoto Mashuleni, Taasisi za Umma Kutumia Nishati safi na kuachana na matumizi ya kuni na utoaji wa chakula Mashuleni ili kupunguza utoro Kwa wanafunzi, Kuhamasisha wananchi wajitokeze katika zoezi la uboreshaji wa daftari la wapiga kura litalofanyika ndani ya siku saba (7) Kuanzia tarehe 28/1/2025 Mpaka 3/2/2025, pia alihimiza wakulima kulima mazao ya muda Mfupi yatakayoendana na wastani wa Mvua. Pia Alikemea swala la Mkulima kubadiliishiwa malipo katika Mnada na kuwataka wajumbe kama Kuna Mkulima mwenye changamoto hiyo awasilishe Taarifa katika ofisi ya Mkuu wa wilaya.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.