Karibu kwenye Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, katika tovuti hii utapata fursa ya kujua shughuli mbalimbali zinazotekelezwa katika Halmashauri. Pia unaweza kupata taarifa za matukio mbalimbali yanayotokea katika Halmashauri yetu. Halmashauri ina fursa za uwekezaji katika sekta ya Maliasili, Kilimo na Viwanada ambapo kuna ardhi nzuri kwa ajili ya Shughuri za kilimo cha mazao mbalimabali ya chakula na biashara kama Korosho, Mbaazi, Karanga,ufuta, mahindi, choroko nk
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.