• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

TUME YA TAIFA YA UMWAGILIAJI NA WASHAURI ELEKEZI KUTOKA MAKAMPUNI YA CCL-MULT- NETWAS YAKUTANA NA WAJUMBE WA CMT NANYUMBU KUTOA MREJESHO WA UJIO WA MRADI WA KILIMO CHA UMWAGILIAJI KATIKA BONDE LA MTO RUVUMA.

Posted on: January 21st, 2025

Tume hiyo imekutana na wajumbe wa CMT tarehe 20 Januari 2025 katika ofisi ya mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya Nanyumbu na kuwaeleza wajumbe kuwa lengo la kuja kwao ni kutoa mrejesho wa kazi zilizofanyika tangu mwanzo hadi hatua ya mwisho ya kutathimini athari za kimazingira na  kijamii zitokanazo na ujio wa mradi huo wa umwagiliaji utakaofanyika katika kijiji cha Lukula na Masuguru. Ilieleza kuwa hatua hii ni ya mwisho imehusisha mikutano na viongozi wa vijiji na mikutano ya hadhara ili kuona mapokeo ya wanaiinchi kuridhia na kukubaliana na athari zozote za kijamii na mazingira zitakazojitokeza zitafidiwa  na uongozi wa vijiji husika ambapo katika hili lielezwa bayana ya kwamba uongozi wa kijijiwamekubali kuwafidia wanainchi wao kwa athari zitakazojitokeza na wanainchi wamekubali.

Bi Amina Fundi ambaye alikuwa mwakilishi wa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya Nanyumbu aliwahoji tume hiyo kama wanamuhtasari wowote kuhusu mapokeo na  maridhio ya wananchi kuhusu ujio wa mradi huo,  mmoja wa wajumbe katika tume hiyo aliwaeleza wajumbe wa CMT kuwa  wanao muhtasari wa wananchi kuridhia  mradi huo wa kilimo cha umwagiliaji ambao upo katika upembuzi yakinifu na usanifu.

Aidha tume hiyo ilieleza  kuwa katika utafiti ambao wamekwisha ufanya wamegundua mazao ambayo yanaweza kustawi katika maeneo hayo ni pamoja na Mpunga, Mahindi, Mbaazi, Ufuta, Njugumawe, Nyanya pamoja na Nyasi maliisho aina ya elephant grass kwa ajili ya mifugo.

Afisa Kilimo wa wilaya ya Nanyumbu Ndugu Iddi.A.Mwakibuka aliwashukuru Wajumbe na tume  kwa kuhudhuria  sambamba  na kuieleza tume hiyo kuwa Nanyumbu inatarajia mafanikio makubwa kupitia uwepo wa mradi huo na matumaini nikuleta tija kwa wananchi wa maeneo husika na Halmashauri kwa ujumla.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.