Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu imepewa Jumla ya shilingi Bilioni 3 kwa ajili ya ujenzi wa Shule mpya ya Kitaifa ya wasichana Kidato cha kwanza hadi cha sita itakayojengwa Kata ya Mangaka eneo la Naishero.
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.