• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Rais Samia atoa Bilioni 3.6 mradi wa maji Sengenya wilayani Nanyumbu

Posted on: May 26th, 2023

Katika Picha ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Chaurembo (mwenye miwani) akiwa eneo la mradi

Na, Lunanilo Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Mariam Khatibu Chaurembo amemkabidhi mkandarasi RJ MUSSA CONSTRUCTION CO. LTD JV GOPA CONTRACTOR mradi wa kukarabati na kupanua bwawa la maji Sengenya utakaogharimu shilingi 3,652,207,125.00 ili kuliongezea uwezo bwawa hilo wa kuhifadhi maji toka lita milioni 90 hadi kufikia lita milioni 514 kwa mwaka.

Akizungumza katika hafla ya kukabidhi eneo la mradi iliyofanyika Kijiji cha Mara Kata ya Sengenya Mei 26, 2023 Mhe. Chaurembo amesema kuwa, mradi huo utatekelezwa kwa miezi tisa na tayari mkandarasi ameshafika eneo la mradi kwa ajili ya kuanza utekelezaji.

Mkuu wa Wilaya amewataka wananchi kuheshimu mipaka ya eneo la mradi, kuhifadhi miundombinu ya mradi pamoja na vyanzo vya maji. Aidha, amemwagiza mkandarasi kuhakikisha anatoa ajira kwa wazawa pindi zinapohitajika.

Naye Kaimu Meneja wa RUWASA Wilaya ya Nanyumbu Mhandisi Simon S. Mchucha amemweleza Mkuu wa Wilaya kuwa, mradi wa maji wa bwawa la Sengenya ni tegemeo kubwa kwa wakazi wa Kata ya Sengenya pamoja na Mji wa Mangaka yalipo makao makuu ya Wilaya ya Nanyumbu, hivyo upanuzi wa mradi huo utawezeshe maeneo hayo kupata uhakika wa huduma ya maji kwa kipindi chote cha mwaka.

“Naomba Rais Samia apigiwe simu kumshukuru kwa kutupatia fedha hizi” Ni maneno aliyoyasema Diwani wa Kata ya Sengenya Mhe. Msafiri Ibrahimu Kasembe (Kapelepete) wakati akitoa shukrani zake za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuipatia Kata hiyo mradi huo mkubwa unaolenga kumtua mwanamke ndoo, ikiwa ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi 2020/2025.


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.