• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yasaini mkataba wa Shilingi bilioni 2.1 kwa ajili ya Ujenzi wa stendi ya mabasi Mangaka

Posted on: May 5th, 2018

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu imesaini Mkataba wa Ujenzi wa stendi mpya ya kisasa ya mabasi wenye thamani ya Shilingi Bilioni 2.1 mbele ya Mh. Selemani Jaffo (Waziri TAMISEMI) mapema leo mjini Dodoma. Stendi hii ya kisasa ya mabasi itajengwa mjini Mangaka katika Wilaya ya Nanyumbu. Aidha, katika zoezi la kusaini mkataba huo, Wilaya ya Nanyumbu iliwakilishwa na Mwenyekiti wa Halmashauri Mh. Ahamad B. Mchopa, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Hamisi H. Damabaya pamoja na baadhi ya Wakuu wa Idara.

Ofisi ya Habari imezungumza na Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Salumu A. Palango ambaye ameishukuru sana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Uongozi makini wa Mh. Dr John Pombe Magufuli kwa kuipatia Fedha hizi Wilaya ya Nanyumbu. Aidha, amewapongeza sana watendaji wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wakiongozwa na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Hamisi H. Dambaya kwa umakini wao na bidii kubwa wanayoionyesha iliyopelekea kufaulu vigezo vilivyowekwa na Wizara ya Fedha kwa nchi nzima ili kupewa fedha hizi.

Wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu wakiongea kwa nyakati tofauti wameishukuru sana Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ikiongozwa na Rais wa awamu ya tano Mh. Dr John Pombe Magufuli kwa kuendelea kuipenda na kuithamini Wilaya ya Nanyumbu. Aidha, Shukrani zao pia za dhati ni kwa Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu Mh. Dua W. Nkurua pamoja na watendaji wote wa Wilaya ya Nanyumbu kwa kasi kubwa waliyonayo katika kuiletea Maendeleo Wilaya ya Nanyumbu. Stendi hii mpya na ya kisasa mjini Mangaka itakuwa ni chanzo bora cha mapato kwa Wilaya ya Nanyumbu.

Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Nanyumbu.




Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.