• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu Yanoa Watumishi Wapya Kupitia Mafunzo Maalum

Posted on: September 3rd, 2025

Mkuu wa Idara ya Utawala na Raslimali Watu wa Halmashauri ya Nanyumbu Ndg. Joshua Mgoli akizungumza na watumishi wapya

Na, Lunanilo Ngela

Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu imeendesha mafunzo maalum kwa watumishi wapya walioajiriwa katika mwaka wa fedha 2023/2024 na 2025/2026, kwa lengo la kuwajengea uwezo katika kutekeleza majukumu yao ya kila siku ya kiutumishi.

Mafunzo hayo ya siku moja yalifanyika Septemba 3, 2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkapa, yakifunguliwa rasmi na Afisa Utumishi wa Halmashauri, Ndg. Joshua Samweli Mgoli, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri.

Akizungumza katika mafunzo hayo, Katibu Tawala wa Wilaya, Ndg. Juma Saidi Kanyinda, aliwasisitiza watumishi hao kutoa huduma bora kwa wananchi. Naye Mkuu wa TAKUKURU Wilaya, Kamanda Paschal Lufungulo, aliwakumbusha watumishi hao kuepuka vitendo vya rushwa ili kulinda maadili ya utumishi wa umma.

Miongoni mwa taasisi zilizoshiriki kutoa mada ni Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (PSSF), Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF), benki ya CRDB, Benki ya MNB, pamoja na Jeshi la Zimamoto na Uokozi.

Aidha, wakuu wa idara na vitengo mbalimbali vya Halmashauri walishiriki kikamilifu katika mafunzo hayo, ikiwa ni sehemu ya kuimarisha ushirikiano na kuongeza ufanisi wa watumishi wapya katika utekelezaji wa majukumu ya kila siku.



Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yanoa Watumishi Wapya Kupitia Mafunzo Maalum

    September 03, 2025
  • DC Magala: “Msipokee Wafugaji Kinyume cha Taratibu”

    September 01, 2025
  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.