• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Mkutano wa Baraza la Madiwani Nanyumbu kuanza leo

Posted on: April 29th, 2019

Makamu M/Kiti wa Baraza la Madiwani Nanyumbu Mhe. Benjamini R. Masimbo akifungua mkutano katika Ukumbi wa Halmashauri

 

Na, Lunanilo L. Ngela

Mkutano wa Robo ya Tatu 2018/2019 wa Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilayani Nanyumbu umefanyika mapema leo katika Ukumbi wa Halmashauri. Katika Mkutano huo, Taarifa  za Kata 17 za Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu ambazo ni Kamundi, Masuguru, Lumesule, Nangomba, Mikangaula, Mnanje, Maratani, Michiga, Napacho, Nanyumbu, Mangaka, Kilimanihewa, Nandete, Sengenya, Chipuputa, Likokona na Mkonona zimejadiliwa kwa kina.

Wenyeviti wa Kamati za Maendeleo za Kata wakizungumzia suala la Elimu katika Taarifa zao, wameelezea hatua mbalimbali za Ujenzi wa miundombinu inayoendelea katika Shule mbili mpya za  Sekondari Masuguru na Marata. Shule hizi zimeanza mwaka huu (2019) na kupewa usajili. Aidha, wananchi wa Kata hizo wakishirikiana na Serikali wanaendelea na ujenzi wa maabara, nyumba za walimu pamoja na Ofisi.

Madiwani katika Taarifa zao wameelezea Ujenzi mbalimbali wa miundombinu unaoendelea katika Kata zao ikiwemo Ujenzi wa madarasa, nyumba za walimu, zahanati, vituo vya Afya, miundombinu ya maji, na vyoo. Aidha, wametoa pongezi za dhati kwa Serikali inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr, John Pombe Magufufli kwa kupeleka fedha za miradi vijijini katika sekta mbalimbali ikiwemo Elimu, Afya, Maji pamoja na mawasiliano.

Kaimu katibu tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Baraka Mlahagwa akizungumza katika mkutano huo amesema kuwa, zoezi la ugawaji wa vitambulisho vya wajasiliamali linaendelea. Aidha, Jumla ya vitambulisho 4,150 kati ya 9,000 vimegawiwa kwa wajasiliamali na kuwataka watendaji wa Kata kuongeza kasi ya kuvigawa vitambulisho hivyo ili kuwaondolea usumbufu wa ushuru na tozo mbalimbali wafanyabiashara wadogo wadogo.

Mkutano wa Baraza la Madiwani utaendelea kesho Tarehe 30/04/2019 ambapo Kamati mbalimbali za Kudumu za Halmashauri ambazo ni:- Kamati ya Fedha Utawala na Mipango, Kamati ya Huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji), Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira pamoja na Kamati ya Kudhibiti UKIMWI zitawasilisha Taarifa zake na kijadiliwa na wajumbe.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.