• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DC Magala: “Msipokee Wafugaji Kinyume cha Taratibu”

Posted on: September 1st, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu akizungumza na wenyeviti wa vijiji pamoja na watendaji Kata na vijiji

Na; Lunanilo Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Christopher Edward Magala, ametoa onyo kali kwa viongozi wa vijiji na kata watakaowaruhusu wafugaji kuingia na kuishi katika maeneo yao kinyume cha taratibu na sheria zilizowekwa.

Akizungumza Septemba 1, 2025 katika kikao kazi kilichowakutanisha wenyeviti na watendaji wa vijiji na kata kwenye ukumbi wa Shule ya Wasichana Mkapa, Mhe. Magala alisema kuwa wafugaji wote wenye vibali wanapaswa kufuata mpango wa matumizi bora ya ardhi kwa kuishi na kulisha mifugo yao kwenye vitalu maalum vilivyotengwa na Halmashauri.

Alibainisha kuwa utekelezaji wa mpango wa matumizi bora ya ardhi ni muhimu ili kuepusha migogoro kati ya wakulima na wafugaji, na kusisitiza kuwa hatasita kuchukua hatua kwa mtu yeyote atakayebainika kukiuka maagizo hayo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Ndg. Ibrahim John Mwanauta, alionya kuwa mtu yeyote atakayewavusha wafugaji au kuwapatia makazi kwa njia za kinyemela atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Migogoro ya wakulima na wafugaji imekuwa ikiripotiwa mara kwa mara, ambapo wakulima wanalalamikia makundi makubwa ya ng’ombe kutoka wilaya jirani kuvamia mashamba yao na kuharibu mazao.

"Kura Yao, Haki Yako - Jitokeze Kupiga Kura"


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC Magala: “Msipokee Wafugaji Kinyume cha Taratibu”

    September 01, 2025
  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.