• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

Posted on: August 26th, 2025

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu, Ndg. Juma Saidi Kanyinda, amewapongeza watumishi wa Idara ya Afya kwa kuimarisha na kuongeza upatikanaji wa huduma za afya katika Hospitali ya Wilaya, vituo vya afya na zahanati.

Akizungumza katika kikao kazi cha tathmini ya utendaji kazi kwa waganga wafawidhi kwa mwaka 2023/2024 kilichofanyika katika ukumbi wa Shule ya Msingi Mangaka, Ndg. Kanyinda alisema utendaji kazi wa watumishi hao umeendelea kuimarika na kuwataka waongeze bidii ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora.

Awali, Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Ndg. Marco Mazanzaga, alisema sekta ya afya imeendelea kukua ikilinganishwa na miaka mitatu iliyopita. Kwa sasa kumekuwepo na ongezeko la zahanati 10, vituo vya afya 2 pamoja na ujenzi wa majengo mapya ya huduma za dharura (EMD), wagonjwa wa nje (OPD), bohari ya dawa na maabara katika Hospitali ya Wilaya.

Aidha, hali ya upatikanaji wa dawa na vifaa tiba muhimu imeimarika kutoka asilimia 88 mwaka 2022 hadi asilimia 95 mwaka 2024, huku bajeti ya manunuzi ya dawa na vifaa tiba ikiongezeka kutoka shilingi milioni 647.3 mwaka 2022/2023 hadi shilingi bilioni 1.7 mwaka 2024/2025.

Vilevile, idadi ya vituo vinavyotoa huduma za kujifungulia akinamama wajawazito imeongezeka kutoka vituo 21 mwaka 2022 hadi 30 mwaka 2024, huku upatikanaji wa vidonge vya kuongeza damu kwa wajawazito ukiongezeka kutoka asilimia 74.1 mwaka 2022 hadi asilimia 85.8 mwaka 2024.

Serikali imeendelea kuimarisha huduma za afya wilayani Nanyumbu kupitia ujenzi wa miundombinu ya vituo vya afya, ununuzi wa dawa na vifaa tiba pamoja na uimarishaji wa mifumo ya TEHAMA, ikiwemo mfumo wa usimamizi na uendeshaji wa huduma za afya (GoT–HOMIS).

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.