• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Elimu ya Saratani ya Matiti Yatolewa kwa Viongozi na Watoa Huduma za Afya ya Msingi Nanyumbu

Posted on: September 12th, 2025

Mganga Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Ndugu Marco Mazanzagar, amefungua semina elekezi kwa viongozi wa jamii na watoa huduma za afya ya msingi kuhusu saratani ya matiti.

Akizungumza katika semina hiyo iliyofanyika Septemba 12, 2025 katika ukumbi wa Shule ya Msingi Mangaka, Dkt. Mazanzagar alisema lengo kuu ni kuongeza uelewa wa jamii kuhusu ugonjwa huo, umuhimu wa uchunguzi wa mapema, na kujenga mabalozi wa afya katika ngazi ya jamii.

Washiriki walipata elimu juu ya ukubwa wa tatizo la saratani ya matiti nchini, ambapo visa vya ugonjwa huu vinaongezeka kila mwaka. Dkt. Mazanzagar alisisitiza kuwa matibabu ya haraka ni njia bora ya kupunguza madhara na kuokoa maisha.

Mratibu wa Afya ya Mama na Mtoto Wilaya ya Nanyumbu, Bi. Emerensiana Lukanga, alieleza kuhusu mradi wa uchunguzi wa saratani ya matiti unaotekelezwa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na TAMISEMI na Jhpiego, kwa ufadhili wa Pfizer Foundation. Mradi huo unatekelezwa kuanzia mwaka 2025 hadi 2027 katika mikoa 11 ya Tanzania Bara na Zanzibar.

Aidha, Bi. Lukanga alitaja visababishi vya saratani ya matiti kama vile historia ya familia, unene kupita kiasi, kutonyonyesha, matumizi ya pombe na tumbaku, ukosefu wa mazoezi, kuanza hedhi mapema na kukoma hedhi kuchelewa. Aliongeza kuwa dalili kuu ni uvimbe kwenye titi au kwapa, mabadiliko ya chuchu, maumivu yasiyo ya kawaida, na kutoka kwa majimaji yasiyo ya kawaida kwenye chuchu.

Washiriki walihimizwa kujichunguza mara kwa mara, kufanya vipimo vya afya kila mwaka, kula vyakula bora na kufanya mazoezi. Pia walikubaliana kutoa elimu kwa wananchi na kusaidia wenye dalili za ugonjwa kupata matibabu mapema.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Elimu ya Saratani ya Matiti Yatolewa kwa Viongozi na Watoa Huduma za Afya ya Msingi Nanyumbu

    September 12, 2025
  • Nanyumbu Yanoa Watumishi Wapya Kupitia Mafunzo Maalum

    September 03, 2025
  • DC Magala: “Msipokee Wafugaji Kinyume cha Taratibu”

    September 01, 2025
  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.