• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Mkurugenzi wa Taasisi ya CTA, Ndugu. ALISTIDIA KAMUGISHA Akitoa elimu jinsi ya kutokomeza ukatili Dhidi ya watoto na Ukatili wa kijinsia.

Posted on: December 23rd, 2024

Na, Airin Lipuka

Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi ya CTA (Community Transformation Alliance), Ndugu Alistidia kamugisha, ametoa  mwendelezo wa elimu  jinsi ya kutokoeza ukatili dhidi ya watoto na ukatili wa kijinsia kwa ngazi ya familia, shule na jamiii kwa ujumla mbele ya wadau wa ulinzi wa mtoo na shule salama katika mkutano uliofanyika disemba 18,2024 shule ya secondary mangaka.

Akitoa elimu hiyo, mkurugenzi. Kamugisha alieleza namna gani mtoto anatakiwa kulindwa katika ngazi ya familia, shule na hata majumbani, namna gani shule inatakiwa kuwa salama ili mtoto aweze kupata elimu bora. Sambamba  na  kuhamasisha mahusiano mazuri kati ya walimu, wazazi, wanafunzi na jamii kwa lengo la kuwezesha mtoto kupata elimu bora.

Aidha, mkurugenzi alitoa shukrani za dhati kwa serikali, wazazi, walimu wa nanyumbu  kwa namna ambavyo wamekuwa pamoja katika kutokoeza jambo hilo.

Kwa upande wa wadau, mwanafunzi neema Omari wa darasa la sita katika shule ya msingi nachuura yeye kawashauri wanafunzi wenzie kuwa mara wapatapo matukio ya ukatili wasisite kutoa taarifa kwa walimu wao au wazazi wao. Na kuwataka wazazi ambao wanafanya ukatili kwa watoto waache.


Ndugu Rashidi mohamedi madola, yeye ni mmoja wa wazazi  ambaye ameiomba serikali na taasisi kama CTA kuendelea kutoa elimu kuhusu mambo ya ukatili, sambamba na kupunguzwa adhabu ya viboko mashuleni.

Afisa ustawi wa jamii(W), Ndugu fanuel Augustine  machumu  yeye pia ameishukuru serikali sambamba na taasisi ya CTA kwa mwendelezo wa utoaji elimu  ya kutokomeza ukatili kwa watoto, kutokana na elimu hiyo imesaidia kupunguza matendo ya ukatili katika halmashauri ya nanyumbu sambamba na kuongeza uelewa kwa walimu, wazazi na jamii. . Kwani kwa takwimu inaonyesha kuwa kwa kipindi cha oktoba-disemba 2024 ni watoto 14 ambao wamefanyiwa ukatili kati yao ke ni6, me ni 8.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.