Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu imepokea Shilingi 1,565,743,119.21 ikiwa ni Fedha za Mpango wa Bajeti ya Maendeleo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi/shughuli zifuatazo;
Na. |
Mradi/Shughuli |
Kiasi cha fedha (Tshs) |
1. |
Ujenzi wa Nyumba Mpya ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri
|
180,000,000.00 |
2. |
Ujenzi/Ukarabati wa Madarasa Shule Kongwe za Msingi
|
180,000,000.00 |
3. |
Ujenzi wa matundu ya vyoo katika Vituo Shikizi vya Shule za Msingi Namarupi na Mhinawe (Namarupi 10 na Mhinawe 10)
|
28,000,000.00 |
4. |
Elimu Bila Ada (Elimu Msingi)
|
44,106,802.00 |
5. |
Elimu Bila Ada (Elimu Sekondari)
|
33,636,317.21 |
6. |
Ukarabati wa Hospitali Kongwe ya Wilaya
|
900,000,000.00 |
7. |
Ukamilishaji wa Ujenzi wa Zahanati za Mpombe na Mchenjeuka
|
100,000,000.00 |
8. |
Ununuzi wa Vifaa Tiba katika Zahanati
|
100,000,000.00 |
|
Jumla Kuu ya Mapokezi ya Fedha (Tshs)
|
1,565,743,119.21 |
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.