• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

KAMATI YA USHAURI YA WILAYA (DCC) YAJADILI NA KUPITISHA RASIMU YA MPANGO NA BAJETI YA 2025/2026.

Posted on: March 5th, 2025

Kamati ya Ushauri ya Wilaya ya Nanyumbu (DCC) imejadili na kupitisha Mapendekezo ya Rasimu ya Mpango wa Bajeti yenye jumla ya kiasi cha shillingi 30,969,799,600.42 kwa mwaka wa fedha 2025/2026.

Akifungua kikao hicho leo Marchi 04, 2025 katika ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu mwenyekiti wa Kamati ya Ushauri ya Wilaya Ambaye pia ni Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Cristopher E.Magala alieleza kuwa lengo la kikao hicho ni kujadili na kupitisha mapendekezo ya bajeti kwa mwaka wa fedha 2025/2026 sambamba na kuridhia taarifa ya Upatikanaji wa Eneo la kuanzisha shamba la miti ekari 2151.8 kutoka kijiji cha Ndechela.

Rasimu ya mapendekezo ya Bajeti imewasilishwa na Mkuu wa Idara ya Mipango na Uratibu Bw, Rudrick B. Charles kwa niaba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu.

Bw Rudrick B.Charles alifafanua kuwa Halmashauri inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Tsh30,969,799,600.42 kati ya fedha hizo Matumizi ya mishahara ya Watumishi ni  Kiasi cha Shilingi 17,9733,628,000.00 sawa na asilimia 58, Matumizi Mengineyo ni Tsh. 3,728,036,400.25 sawa na asilimia 12 na matumizi ya Miradi ya Maendeleo ni Tsh. 9,268,35,200.17 sawa na Asilimia 30.(ikiwa ni fedha za ndani na fedha za nje)

Wajumbe wa kamati wamepata nafasi ya kupitia,na Kujadili Mapendekezo na hatimaye kwa kauli moja Kuridhia kupitisha rasimu hiyo ya bajeti kwenda katika ngazi nyingine. Sambamba na  kupitisha taarifa ya Upatikanaji wa Eneo la kuanzisha shamba la miti katika kijiji cha Ndechela. Kamati hiyo pia ilitoa pongezi kwa Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya chini ya  Mkurugezi Mtendaji Ndugu Ibrahim Mwanauta kwa kuandaa bajeti nzuri ambayo ina  vipaumbele vyote ambavyo  vitaenda kujibu changamoto  mbalimbali za wananchi.

Mwenyekiti wa kikao hicho ametamatisha kwa kuwashukuru wajumbe wote kwa kushiriki na kutoa michango yao katika rasimu hiyo.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.