• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DC Ngollo Malenya Apongeza Baraza la Madiwani Nanyumbu kwa Kujifunza Biashara ya Kaboni Namtumbo

Posted on: October 22nd, 2024

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nanyumbu (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti (wa tatu kulia) na Wenyeviti wa Kamati za Kudumu za Halmashauri

Na; Lunanilo Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, Mhe. Ngollo Malenya, amewapongeza madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, wakiongozwa na Mwenyekiti wao, Mhe. Benjamin Masimbo, kwa kutembelea Wilaya ya Namtumbo tarehe 22 Oktoba 2024, kwa lengo la kujifunza kuhusu utekelezaji wa biashara ya kaboni.

Akizungumza na madiwani hao walipofika ofisini kwake, Mhe. Malenya alisema kuwa biashara ya kaboni ni chanzo muhimu cha mapato kwa Wilaya ya Namtumbo, kwani inasaidia kukuza uchumi na kuhifadhi mazingira. Alisisitiza umuhimu wa kubadilishana uzoefu katika masuala ya kiuchumi ili kuimarisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii katika halmashauri hizo.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo, Ndg. Philemon Magesa, alibainisha kuwa biashara ya kaboni inatekelezwa katika jumuiya za hifadhi za Kimbanda, Kisungule, na Mbarang’andu, katika vijiji 18 vya kata 8 tangu mwaka 2022.

Aidha, Afisa Maliasili wa Wilaya, Bi. Prisca Msuha, alisema kuwa vijiji na halmashauri vimepokea zaidi ya shilingi milioni 373.5 kutoka kampuni ya CT Limited, inayotekeleza mradi huo. Fedha hizo zimetumika kuboresha miradi mbalimbali ya maendeleo vijijini, ikiwemo huduma za elimu na afya, pamoja na kusaidia kupunguza ukataji holela wa misitu ili kuzalisha krediti za kaboni.

Biashara ya kaboni ni mfumo wa soko unaoruhusu nchi au makampuni kununua na kuuza haki za kutoa kaboni dioksidi, ulioanzishwa kupitia Itifaki ya Kyoto chini ya Mkataba wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi mwaka 2005. Nchini Tanzania, miradi hii imeingiza zaidi ya shilingi bilioni 25 kutoka masoko ya kaboni.

Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.