• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

DC Machali awakumbusha wananchi kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura

Posted on: October 9th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali akizungumza na wananchi wa kijiji cha Chipuputa wilayani Nanyumbu


Na, Lunanilo Ngela

Wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu mkoani Mtwara, wamekumbushwa kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura katika Vitongoji vyao ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019.

Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Kata za Sengenya na Chipuputa, Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali amewataka wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu wenye sifa za kupiga kura kijiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura.

Zoezi la Kujiandikisha kwenye Daftari ya Mpiga Kura lilianza mapema Tarehe 8/10/2019 na litakamilika ifikapo Tarehe 14/10/2019. Vituo vya kujiorodheshea hufunguliwa saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 Jioni.

Mpiga kura anatakiwa kuwa na Sifa zifuatazo:

  • Raia wa Tanzania
  • Umri wa miaka kumi na nane (18) na kuendelea
  • Mkazi wa Eneo la Kitongoji
  • Asiye na ugonjwa wa akili uliothibitishwa na Daktari anayetambulika na Serikali au Bodi ya Utabibu
  • Awe amejiandikisha kupiga kura katika Kitongoji husika.

Mkuu huyo wa Wilaya akiwa ameongozana na Kamati ya Ulinzi na Usalama alikwenda kujiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga Kura katika Kitongoji chake cha Kagera katika Kijiji cha Ngalinje ili kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa.

Viongozi mbalimbali wa Vyama vya Siasa akiwemo Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Nanyumbu Comrade, Didas Zimbihile, wametumia haki yao ya kikatiba ya kujiandikisha katika vitongoji wanavyotokea. Ofisi ya Habari Nanyumbu ilifika Kitongoji cha Kumbukumbu Kijiji cha Mangaka siku ya kwanza kabisa na kumkuta Katibu huyo wa CCM akijiandikisha kwenye Orodha ya Wapiga kura ili kushiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.  


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.