• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Baraza Maalumu la Madiwani Nanyumbu lakutana kujadili Hoja za CAG

Posted on: August 19th, 2019

Katika picha ni Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius G. Byakanwa


Na, Lunanilo L. Ngela

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mheshimiwa Gelasius Byakanwa  amewataka watendaji wa Serikali kutoonesha umahiri wa kujibu hoja za ukaguzi badala yake kuhakikisha hawazalishi hoja hizo.

Katika salamu zake zilizosomwa kwa niaba yake na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mheshimiwa Moses Machali kwenye Baraza la kupitia hoja za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Fedha za serikali, Mkuu wa Mkoa amesema kwamba njia pekee ya kutozalisha hoja ni kuhakikisha taratibu, sheria na kanuni zilizowekwa na serikali zinafuatwa.

Mkuu wa Mkoa amewataka watendaji kujiepusha na vitendo vyote vinavyoweza kuruhusu kufanyika kwa udanganyifu wa fedha za serikali ikiwa ni pamoja na kutumia mashine za kukusanyia mapato (POS) katika vyanzo vyote vya Halmashauri.

Katika Baraza hilo lililofanyika kwenye ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, Mkuu wa Mkoa ameipongeza Halmashauri kwa kupata Hati Safi (Uniqualified Opinion) na kusema kuwa ni vema watendaji wakaendelea kufanya kazi kwa juhudi na maarifa ili kuwaletea wananchi maendeleo.

Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mheshimiwa Moses Machali amewataka watendaji na madiwani wa Halmashauri kujitathmini katika utendaji wao wa kazi za kila siku na kuona jinsi ya kukabiliana na hoja zote za ukaguzi kuanzia hoja za ndani mpaka zile za Mdhitibi na Mkaguzi Mkuu wa Fedha za Serikali.

Ameitaka Ofisi ya Mkaguzi na mdhibiti Mkuu wa fedha za serikali kuwa kiungo muhimu katika kutoa ushauri kwa watendaji wa Serikali ili waweze kusimamia vizuri miongozo, sheria, taratibu na kanuni za mapato na matumizi ya fedha za umma.

Mdibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017/2018 alitoa hoja 29 ambazo zote zimejibiwa na menejimenti ndani ya siku 21. Aidha, katika hoja hizo Halmashauri imefanikiwa kutekeleza na kufunga hoja 14 huku hoja 15 zikiwa hatua mbalimbali za utekelezaji.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.