Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu anawatangazia watu wote walioomba Nafasi za kazi za Watendaji wa Vijiji III zilizotangazwa kupitia Tangazo la Tarehe 14/08/2023 lenye Kumb. Na. NDC/S.20/12/VOL.VIII/48 kuwa usaili umepangwa kufanyika Tarehe 20/11/2023 hadi 21/11/2023 Ofisi Kuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu kuanzia saa 02.30 Asubuhi.
Tazama hapa
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.