• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yagawa vitambulisho kwa wajasiriamali wadogo

Posted on: December 26th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wajasiriamali wa Wilaya ya Nanyumbu


Zoezi la ugawaji wa vitambulisho kwa wajasiriamali wadogo wadogo limezinduliwa mapema leo ya tarehe 26/12/2018 katika viwanja vya Kata ya Mangaka na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses Machali. Zoezi hili ni maalumu kwa wajasiriamali wote ambao mauzo yao hayazidi Shilingi Milioni nne (Tsh. 4,000,000/=) kwa mwaka.

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu amesema kuwa, Rais wa awamu ya tano Mhe. Dr John Pombe  Magufuli katika kuutambua umuhimu wa wajasiriamali wadogo katika kukuza mtaji wao, ameamua kuwawekea utaratibu mzuri wa kuwatambua na kuwaondolea kodi na tozo mbalimbali ili waweze kukuza mtaji wao. Wajasiriamali hawa wanapewa vitambulisho vitakavyowawezesha kufanya biashara nchini kwa uhuru. Aidha, Mkuu wa Wilaya ameongeza kwa kusema kuwa nia ya Serikali ni kuhakikisha wananchi na hasa wanyonge wanainuka kiuchumi.

Vitambulisho hivi vinapatikana kwa Shilingi elfu ishirini tuu kwa kila kimoja (Sh. 20,000/=) na kitadumu kwa mwaka mmoja wa Serikali. Fomu za kujiandikisha zimesambazwa kata zote 17 za Wilaya ya Nanyumbu na zitapelekwa vijiji vyote kwenye Ofisi za Watendaji wa vijiji. Aidha, Tarehe 20/01/2019 ni siku ya mwisho kwa wajasiriamali wote wadogo kujiandikisha.

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Hamis H. Dambaya ametoa onyo kwa wale wote watakaotumia vitambulisho hivyo kwa kushirikiana na wafanyabiashara wakubwa ili kuwawezesha kukwepa kodi. Aidha, amesisitiza kuwa wale wote watakaopewa vitambulisho wahakikishe anaitumia vema nafasi hii waliyopewa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kukuza mtaji wao.  

Wajasiriamali wadogo wa Wilaya ya Nanyumbu wakizungumza na Ofisi ya Habari Nanyumbu wametoa shukrani zao za pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr, John Pombe Magufuli kwa kuwatengenezea mazingira rafiki ili kukuza kipato chao. Aidha, wameiahidi Serikali kuwa  watafanya kazi kwa bidii ili kumpinga adui umaskini, ujinga na maradhi.




Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yajipanga Kukusanya Bil. 4.7 Mwaka 2025/2026 – DED Mwanauta Atoa Maelekezo Muhimu

    July 14, 2025
  • Mradi wa Maji Mto Ruvuma, DC Magala Atoa Maagizo Mazito

    July 11, 2025
  • Nanyumbu Yatikisa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

    July 10, 2025
  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.