• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yampokea kwa shangwe Mkuu mpya wa Wilaya

Posted on: August 6th, 2018

Mkuu mpya wa Wilaya ya Nanyumbu Mh. Moses Joseph Machali (Kwenye picha) akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Nanyumbu mara tu baada ya kuwasili ofisini kwake

Furaha, vifijo na Nderemo vimeutawala mji wa Mangaka  mara tu baada ya kuwasili kwa Mkuu mpya wa Wilaya ya Nanyumbu Mh. Moses Joseph Machali akitokea Mtwara ambako ameapishwa mapema leo kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Wilaya ya Nanyumbu kwa mda mrefu haikuwa na Mkuu wa Wilaya kutokana na kuondoka kwa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya hiyo Mh. Joachim Wangabo aliyeteuliwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Rukwa. Wananchi hao pamoja na viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Nanyumbu wamempokea kwa furaha Mkuu huyo mpya wa Wilaya wakiwa na imani kubwa ya kuiona Wilaya ikisonga mbele kwa kasi katika nyanja mbalimbali.

Mheshimiwa  Moses Joseph Machali akizungumza na Viongozi mbalimbali wa Wilaya ya Nanyumbu amesisitiza kufanya kazi kwa kujituma ili kuharakisha maendeleo. Aidha, Mh. Machali amewashukuru wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu kwa kumpokea na ameahidi kufanya kazi kwa moyo na kwa ushirikiano mkubwa.

Wananchi wa Nanyumbu wakiwakilishwa na Mbunge wa Jimbo la Nanyumbu Mh. Dua Nkurua wametowa shukrani za pekee kwa Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli kwa kuipatia Nanyumbu Mkuu mpya wa Wilaya. Nanyumbu Inakuhitaji sana! (anasema Mh. Mbunge huku akiwa na furaha kubwa). Baadhi ya wananchi wakizungumza moja kwa moja na Afisa Habari wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Lunanilo L. Ngela wamesema Mkuu mpya wa Wilaya ni kama tunu waliyotunukiwa watu wa Nanyumbu na wameahidi kushirikiana nae bega kwa bega ili kuwashinda maadui watatu ambao ni umaskini, ujinga na Maradhi.

KARIBU SANA NANYUMBU,  KARIBU SANA MH. MOSES JOSEPH MACHALI


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.