• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Ziara ya RC Byakanwa neema tupu Nanyumbu

Posted on: September 22nd, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius G. Byakanwa akizungumza na watumishi wa Wilaya ya Nanyumbu katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri


Na, Lunanilo L. Ngela

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe. Gelasius Byakanwa amefanya ziara ya kikazi mapema leo katika Wilaya ya Nanyumbu na kuzungumza na makundi mbalimbali ya watu wakiwemo Watumishi wa Umma, waheshimiwa Madiwani wa Halmashauri pamoja na wafanyabiashara.

Akizungumza na watumishi wa Umma, Mhe. Byakanwa ameitaka Halmashauri kuwawezesha watumishi kupata viwanja ili kuwaongezea ari ya kufanya kazi ikiwa ni pamoja na kuwafanya wakae ndani ya Wilaya. Aidha, amewataka watumishi hao kuhakikisha wanatafuta fursa za kiuchumi zilizopo Nanyumbu na kuzitumia ipasavyo.

Mkuu wa Mkoa amewataka watu wote walionunua viwanja  Mangaka kuhakikisha viwanja hivyo vinaendelezwa ili kuharakisha ukuaji wa Mji wa Mangaka. Ameitaka Wilaya kutenga eneo kwa ajili ya ujenzi wa Soko la Madini ya Dhahabu baada ya kupatikana kwa taarifa za uwepo wa madini ya Dhahabu katika Wilaya ya Nanyumbu.

Wananchi wamesisitizwa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 ikiwa ni pamoja na kuhakikisha wanajiandikisha kwenye Daftari la wapiga kura. Aidha, Mhe. Byakanwa amewataka watu wenye sifa za kugombea nafasi mbalimbali ikiwemo Wenyeviti wa Vijiji, Wajumbe wa Halmashauri ya kijiji na Wenyeviti wa Vitongoji kujitokeza kugombea.

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali katika kuhamasisha kampeni ya Shule ni choo iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara amesema kuwa Wilaya inaendelea na ujenzi wa miundombinu mbalimbali ya shule ikiwemo vyoo. Jumla ya Shilingi 5,730,000 pamoja na mifuko 57 ya simenti ilipatikana baada ya wafanyakazi kuchangia ili kuunga mkono ujenzi wa Vyoo katika shule za Msingi na sekondari.  


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.