Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan atafanya ziara ya kikazi Wilaya ya Nanyumbu Septemba 17, 2023.
Katika ziara hiyo, Mhe. Rais atawasili Mangaka saa 2:30 asubuhi na miongoni mwa maeneo atakayotembelea ni pamoja na ghala la kihifadhia mazao la Naishero Kata ya Mangaka.
Mheshimiwa Rais atasalimiana na wananchi barabara ya Mangaka mjini kwenye makutano ya Barabara za Mtambaswala - Mangaka na Masasi - Songea (round about).
Wananchi wote mnakaribishwa
Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu
Anwani ya Posta: 246, Masasi
Simu: 0232934112/3
Simu za Mikononi:
Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz
Copyright ©2017 Nanyumbu Distict Council . All rights reserved.