• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Wadau wa Elimu Nanyumbu waifagilia Taasisi ya WAJIBU na MTWANGONET

Posted on: June 23rd, 2023

Kaimu Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu ambaye pia ni Afisa Tarafa ya Mangaka Ndg. Baraka Mlahagwa akifungua Kikao cha Wadau wa Elimu

Na; Lunanilo Ngela

Ile kauli ya Wahenga isemayo “Mbegu ya Ufumbuzi Hupandwa Kwenye Ardhi ya Swali,” inadhihirika katika kikao cha Wadau wa Elimu kilichoketi Juni 23, 2023 katika Ukumbi wa Halmashauri kufanya tathmini ya utekelezaji wa Mradi wa Uwajibikaji Awamu ya Pili (Audit Accountability Initiative Project- Phase II), unaotekelezwa na Mashirika Yasiyokuwa ya Kiserikali ya MTWANGONET na WAJIBU kwa Shule za Msingi Magomeni na Lipupu.

Mgeni Rasmi Ndg. Baraka Mlahagwa akifungua Kikao hicho amewataka washiriki kupokea Taarifa ya Ufuatiliaji iliyoandaliwa na Wajumbe wa Kamati ya Ufuatiliaji (PETS) ikiwa ni pamoja na kuijadili taarifa hiyo na kuweka mikakati ya pamoja ya namna ya kuboresha miundombinu katika Sekta ya Elimu.

Mkurugenzi wa Shirika la MTWANGONET (Mtwara Non-Governmental Organization Network) Bi. Fidea Ruanda ameeleza kuwa, mradi huo unalenga kuongeza uwazi na uwajibikaji kwa wananchi, watendaji na viongozi katika kuboresha miundombinu ya Shule za Msingi hasa madarasa.

Naye Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi ya WAJIBU Bi. Tekla Mleleu amesema, chimbuko la mradi huo ni Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Mwaka 2017 iliyobainisha uhaba wa madarasa Nanyumbu na hivyo mashirika hayo kujikita katika kufanya uhamasishaji katika jamii ili kuongeza uelewa wa jamii katika kusimamia, kufuatilia na kuchangia ujenzi wa  miundo mbinu ya shule.  

Wadau wa Elimu walioshiriki kikao hicho wametoa pongezi za dhati kwa mashirika hayo ambayo katika Awamu ya Kwanza Mwaka 2021, yalitekeleza vema Mradi huo kwa Shule za Msingi Mangaka na Likokona B na hivyo kuwaomba kutekeleza miradi ya aina hiyo kwa shule zingine zenye uhaba wa miundombinu katika Halmashauri.  

 

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu ambaye pia ni Diwani wa Kata ya Masuguru Mhe. Benjamin Raphael Masimbo akizungumza na washiriki wa Kikao 


Mkurugenzi wa Shirika la MTWANGONET Bi. Fidea Ruanda akitoa Taarifa ya Utekelezaji wa Mradi kwa washiriki wa Kikao katika ukumbi wa Halmashauri


Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi ya WAJIBU Bi. Tekla Mleleu akiuelezea Mradi wa Uwajibikaji Awamu ya Pili (Audit Accountability Initiative Project- Phase II)


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.