• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Ujenzi wa Stendi ya mabasi Mangaka washika kasi

Posted on: September 22nd, 2018

Jengo hili ni miongoni mwa majengo yatakayojengwa katika stendi mpya ya mabasi Mangaka wilayani Nanyumbu


Na, Lunanilo L. Ngela

Wadau wa Maendeleo wilayani Nanyumbu wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali wamekutana katika ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu ili kufanya tathmini ya kina na kupitia michoro ya Stendi mpya ya kisasa ya mabasi inayotegemea kuanza kujengwa mapema mwezi Novemba mwaka huu katika Mji wa Mangaka.

Nanyumbu ni miongoni wa Halmashauri kumi na saba (17) tu za nchi ya Tanzania zilizofanikiwa kutayarisha Miradi bora na makini ya Kimkatati na hivyo kufanikiwa kuingiziwa kiasi cha Shilingi 2,145,467,400.00 (Bilioni 2.1). Aidha, katika Mkoa wa Mtwara ni Nanyumbu pekee iliyofanikiwa kupata Mradi huu wa kimkakati.

Katika kikao hicho cha wadau wa maendeleo wilayani Nanyumbu, kampuni ya Geometry Consultant LTD ya Jijini Dar es Salaam iliyoshinda zabuni ya kutayarisha michoro na gharama za Mradi (Architects, Interior design, Landscape Consulting and Project Management) iliwasilisha michoro na uelekeo wa mradi.

Wajumbe wote wa kikao hicho wakiongozwa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali walipata nafasi ya  kupitia michoro, kushauri na kufanya tathmini ya kina ya mradi huo mkubwa uliovuta hisia za watu wengi ndani na nje ya Wilaya ya Nanyumbu.

Ujenzi wa Stendi kuu ya mabasi Mangaka utagharimu kiasi cha Shilingi 2,245,467,400 kiasi hiki cha fedha ni kutoka katika vyanzo viwili yaani Serikali kuu Shilingi 2,145,467,400.00  na kiasi cha Shilingi 100,000,000.00 kutoka mapato ya ndani ya Halmashauri. Aidha, mradi huu unatarajia kuanza mapema mwezi Novemba 2018 na kukamilika ifikapo mwaka  2019. 

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu ambaye pia ni Mwenyekiti wa kikao hicho  amesisitiza uadilifu kwa kila mmoja ambaye kwa namna moja au nyingine atahusika katika mradi huu. Mkuu wa Wilaya ameagiza pia Ujenzi wa Stendi ya mabasi uende kwa kasi inayostahili ili kuharakisha maendeleo katika Wilaya ya Nanyumbu. Pamoja na Ujenzi huu pia Wilaya ya Nanyumbu inatekeleza Mradi wa Ujenzi wa Kituo cha Afya Mtambaswala unaogharimu Shilingi 400,000,000.00 pia ujenzi wa miundombinu ya Elimu, Afya na Maji. 

Wananchi wa Wilaya ya Nanyumbu wametoa shukrani zao za pekee kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. John Pombe Magufuli kwa kuendelea kuiamini na kuithamini Wilaya ya Nanyumbu. Aidha, wametoa pongezi za dhati kwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali, Mkurugenzi Mtendaji Ndg. Hamis H. Dambaya na watendaji wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu kwa kuibua miradi mikubwa yenye tija kwa Wilaya na Taifa kwa ujumla.



 

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.