• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Taasisi za WAJIBU na MTWANGONET wahamasisha wananchi Kijiji cha Amani kushiriki Ujenzi wa Miundombinu ya Shule

Posted on: July 15th, 2023

Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi ya WAJIBU Bi. Tekla Mleleu (wa pili kulia) na Mkurugenzi wa Shirika la MTWANGONET Bi. Fidea Ruanda (wa tatu kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wananchi wa Kijiji cha Amani

Na; Lunanilo Ngela

Mkurugenzi wa Shirika la MTWANGONET (Mtwara Non-Governmental Organization Network) Bi. Fidea Ruanda na Afisa Ufuatiliaji na Tathmini wa Taasisi ya WAJIBU Bi. Tekla Mleleu, wamewahamasisha wananchi wa Kijiji cha Amani Wilaya ya Nanyumbu kushiriki kikamilifu katika ujenzi wa miundombinu ya shule ya Msingi Magomeni katika Kijiji hicho.

Viongozi hao wa Mashirika Yasiyokuwa ya Kiserikali yanayotekeleza Mradi wa Uwajibikaji Awamu ya Pili (Audit Accountability Initiative Project- Phase II) katika Shule za Msingi Magomeni na Lipupu, wakizungumza na wakazi wa Kijiji cha Amani Julai 15, 2023, wameeleza nia ya Taasisi zao kuwa ni kuiunga mkono Serikali katika Ujenzi wa Miundombinu ya Shule.

Naye Mwenyekiti wa Kijiji cha Amani Ndg. Galus Mmuni pamoja na wananchi wa Kijiji hicho wameeleza namna walivyojipanga kukamilisha ujenzi wa madarasa kufikia hatua ya boma ili kuiomba serikali kuendelea na hatua ya umaliziaji (finishing) ya madarasa hayo.

Afisa Mradi wa Uwajibikaji Awamu ya Pili (Audit Accountability Initiative Project- Phase II) Ndg. Deogratius Makoti akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Amani

Kaimu Afisa Elimu wa Shule za Awali na Msingi Ndg. Seif Chilumba akijibu maswali mbalimbali ya wananchi wa Kijiji cha Amani katika Mkutano uliofanyika Shule ya Msingi Magomeni

Ndg. Juma Njaro ambaye pia ni Afisa Maendeleo ya Jamii katika Wilaya Nanyumbu akizungumza na washiriki wa Mkutano

Afisa Elimu (Mahitaji Maalum) Ndg. Ahmad Swalehe ameitaka jamii kutowanyanyapaa Watoto wenye mahitaji maalum na badala yake kuwapeleka shule kwani wana haki ya kupata Elimu

Kaimu Mthibiti Ubora wa Elimu Wilaya ya Nanyumbu Ndg. Juma Ally amewahamasisha wananchi kuhakikisha Watoto wanapewa chakula ili kuwawezesha Watoto hao kusoma vizuri

Wananchi wa Kijiji cha Amani wakichangia hoja katika Mkutano huo uliofanyika Shule ya Msingi Magomeni


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.