• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

NMB Nanyumbu yapeleka madawati Michiga B

Posted on: December 5th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali (Kushoto, walioshikana mikono) akikabidhiwa madawati na Meneja Mahusiano Serikalini wa NMB Kanda ya Kusini Ndg. Haji Msigwa


Na, Lunanilo L. Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya Mhe. Moses J. Machali amekabidhiwa madawati arobaini (40) na Benki ya NMB Nanyumbu yenye thamani ya shilingi milioni tano mapema leo ya tarehe 05/Disemba/2018 katika shule ya Msingi Michiga B. Benki ya NMB imetoa madawati hayo kwa ajili ya shule hiyo ili kuunga mkono juhudi za Wilaya katika kuboresha miundombinu ya shule.

Mheshimiwa Moses Joseph Machali akiwa katika makabidhiano hayo, ametoa shukrani za pekee kwa Benki ya NMB Nanyumbu kwa mchango wao mkubwa katika kuunga mkono shughuli mbalimbali za maendeleo wilayani Nanyumbu. Aidha, ameuomba uongozi wa Benki hiyo kuendelea na moyo huo wa kizalendo ili kuharakisha maendeleo ya Wilaya.


Mkuu wa Wilaya akizungumza na wananchi waliohudhuria katika zoezi hilo la kupokea madawati, ametoa shukrani za pekee kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Venance S. Mabeyo pamoja na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa kujenga madarasa sita mapya na Ofisi moja ya Walimu katika Shule hiyo na kuondoa kabisa tatizo la uhaba wa madarasa kwa Shule ya Msingi Michiga B. Ujenzi huu wa madarasa umefanywa na Jeshi la Wananchi wa Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri pamoja na wananchi.

Meneja wa Benki ya NMB Nanyumbu Bi. Rose Lwenje amesema kuwa NMB hutenga fedha kila mwaka kwa ajili ya shughuli mbalimbali za maendeleo kwa jamii ikiwemo Elimu na Afya. Aidha, Benki ya NMB Nanyumbu pamoja na kuunga mkono shughuli za maendeleo pia hutoa mikopo kwa wakulima pamoja na kuwahamasisha wananchi kujiwekea akiba benki katika akaunti mbalimbali ikiwemo akaunti za akiba, watoto na nyingine nyingi.  

Wananchi wa Kijiji cha Pachani wakizungumza na Ofisi ya Habari Nanyumbu, wameushukuru sana uongozi wa Benki ya NMB Nanyumbu kwa mchango wao mkubwa kwa shule ya Msingi Michiga B. Aidha, wameushukuru pia uongozi wa Wilaya na Jeshi la Wanachi wa Tanzania kwa kuwezesha ujenzi wa miundombinu ya shule ikiwemo madarasa na Ofisi.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.