• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu kuadhimisha siku ya mazingira Duniani

Posted on: June 5th, 2018

Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg, Marco Mapunda akiwahutubia wananchi wa Kijiji cha Nandembo  Wilayani Nanyumbu mapema leo katika kuadhimisha siku ya mazingira Duniani.

Kaulimbiu ya mwaka huu katika siku ya Mazingira “MKAA NI GHARAMA, TUMIA NISHATI MBADALA. Kauli mbiu hii inawataka wananchi kujitoa katika utegemezi mkubwa wa kuni na mkaa ili kuingia katika teknolojia mbadala kama gesi, umeme, majiko banifu yanayotumia kuni na mkaa kidogo  ikiwa ni pamoja na mkaa utokanao na plastiki, magazeti na pumba

Afisa Misitu wa Wilaya ya Nanyumbu Ndg, Focus Mlelwa akisoma risala kwa Mgeni rasmi amesema kuwa katika Wilaya ya Nanyumbu kuna uharibifu mkubwa wa mazingira unaoendelea unaotokana na ongezeko la watu na shughuli mbalimbali za kiuchumi unaopelekea matumizi makubwa ya mkaa, kuni na mbao. Aidha, kilimo cha kuhamahama, uchomaji moto misitu na nyika pamoja na utupaji wa taka ovyo unapelekea uchafuzi wa mazingira, ukame, majangwa, uharibifu wa ardhi, upotevu wa mimea asilia, upotevu wa viumbe hai, upungufu wa maji na upungufu wa uzalishaji katika kilimo.

Afisa Mazingira wa Wilaya ya Nanyumbu Bi. Elihose Malisa amewataka wananchi, taasisi za serikali na binafsi kutilia mkazo suala la utunzaji wa mazingira kwa kuanzisha vitalu vya miti na kubuni njia mbadala ya kutengeneza mkaa, kutengeneza majiko banifu na kubuni teknolojia mbalimbali za hifadhi ya mazingira ambayo itaokoa misitu inayoporomoka siku hadi siku. Aidha, Bi Malisa amesema Serikali haitasita kuwachukulia hatua wale wote wanaochoma moto misitu ikiwani pamoja na wanaoharibu mazingira kwa makusudi. Afisa Mazingira amewakumbusha wananchi   kuhakikisha wanafanya usafi katika maeneo yao kila siku.

Wananchi wa Kijiji cha Nandembo wakizungumza na Afisa Habari wa Wilaya ya Nanyumbu ndugu Lunanilo L. Ngela wamesema wataendelea na utamaduni wakupanda miti kila mwaka ikiwa ni pamoja na kupambana na wale wote wanaochoma moto misitu au kuharibu mazingira kwa makusudi.

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.