• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yafanya vizuri Miradi ya Mwenge 2019

Posted on: September 29th, 2019

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali akiwa na Mwenge wa Uhuru katika viwanja vya Stendi ya mabasi Mangaka


Na, Lunanilo L. Ngela

Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa kwa Mwaka 2019 Ndg. Mzee Mkongea Ali ameipongeza Wilaya ya Nanyumbu kwa kufanya vizuri katika miradi yake yote ya Mwenge kwa mwaka 2019.

Akitoa pongezi hizo katika viwanja vya Stendi ya mabasi Mangaka, Kiongozi huyo wa Mbio za Mwenge wa Uhuru amesema kuwa Wilaya ya Nanyumbu imefanya vizuri katika Miradi yake na hivyo miradi yote saba yenye Thamani ya Shilingi 1,071,151,980/= kuzinduliwa.

Ukiwa wilayani Nanyumbu, Mwenge wa Uhuru umefungua mradi mmoja, kukagua miradi miwili pamoja na kuzindua miradi minne. Miradi hiyo ni pamoja na Ujenzi wa Soko la kijiji cha Nakopi, Ujenzi wa nyumba na Ofisi ya Afisa Tarafa Nakopi, Ujenzi wa kituo cha mafuta RAK Oil Michiga, Upandaji wa miti Mara, Ujenzi wa madarasa Shule ya Msingi Muungano, Kukagua banda la TAKUKURU, Uchaguzi, Afya na vikundi vya wajasiliamali.

Mwenge wa Uhuru umepokelewa mapema leo ya Tarehe 29/09/2019 katika Kijiji cha Lumesule wilayani Nanyumbu ukitokea Tunduru na kukimbizwa umbali wa Kilomita 132 katika Tarafa 3 kati ya 4, Kata 10 kati ya 17 na Vijiji 24 kati ya 93.

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machale ametoa pongezi za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr, John Pombe Magufuli kwa kuipatia Nanyumbu fedha za miradi ya maendeleo. Aidha, Mkuu huyo wa Wilaya ameahidi kuendelea kushikamana bega kwa bega na watendaji wengine wa Wilaya katika kutimiza kiu ya Rais Magufuli ya kuwapatia maendeleo wananchi na hasa wanyonge.

Kauli mbiu ya Mwenge wa Uhuru kwa Mwaka 2019 "MAJI NI HAKI YA KILA MTU, TUTUNZE VYANZO VYAKE NA TUKUMBUKE KUSHIRIKI UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA"


Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • RC Sawala Aipongeza Nanyumbu kwa Kupata Hati Safi ya CAG

    June 19, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.