• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu yadhamiria kumaliza kabisa tatizo la uhaba wa miundombinu ya Shule

Posted on: April 20th, 2018

Wilaya ya Nanyumbu inaendelea kwa kasi katika ujenzi wa miundombinu ya Shule za Msingi na Sekondari ili kutimiza malengo yake ya kuhakikisha tatizo hili linafutika moja kwa moja. Wakizungumza kwa nyakati tofauti wananchi, viongozi na wadau wengine wa Elimu Wilayani Nanyumbu wamesema kuwa wamewekeza nguvu nyingi katika ujenzi wa madarasa, maabara, Ofisi za walimu, vyoo na hosteli. Mpaka sasa Jumla ya madarasa 146, matundu ya vyoo 192, Ofisi za Walimu 17 na nyumba za walimu vinaendelea kujengwa  katika Shule za Msingi. Aidha, ujenzi wa maabara, madarasa, hosteli na nyumba za walimu unaendelea katika Idara ya Elimu Sekondari.

  • Halmashauri imeendelea Kuunga mkono juhudi za wananchi za kujenga miundo mbinu katika shule zenye miundombinu vibovu na kuhamasisha  wananchi/jamii  kuchangia nguvu zao katika ujenzi wa majengo . Kwa kushirikiana na Idara ya Fedha na na Idara ya Mipango, Idara ya Elimu Msingi ilichambua na kuainisha maeneo yenye miundombinu mibovu ambapo juhudi za wananchi za kujikwamua na uhaba wa miundombinu zimeanza kutekelezwa. Maeneo ambayo wananchi walianzisha miradi ya ujenzi Halmashauri iliunga mkono miradi hiyo kwa kutoa fedha kama ifuatavyo:-
AINA YA MRADI         
SEHEMU
UTEKELEZAJI
Ujenzi wa madarasa 4 na ofisi moja na vyoo matundu 8
Matundu  2 vyoo vya walimu
S/M Nahawara
Mradi wa vyumba 3 vya madarasa na vyoo matundu 8 umekamilika, ujenzi wa ofisi na darasa 1 upo hatua ya upauaji. Ujenzi wa shimo la vyoo vya walimu.
Ujenzi wa madarasa 5 na ofisi 1
S/M Sengenya
Ujenzi unaendelea upo katika hatua ya umaliziaji
Ujenzi wa madarasa 6 na ofisi 2 za walimu
S/M Michiga B
Upo hatua ya umaliziaji
Ujenzi wa madarasa 6 na ofisi 1 walimu
S/M Lidede
Ujenzi unaendelea upo katika hatua ya upauaji
Ujenzi wa madarasa 5
S/M Nangaramo
Mradi upo katika hatua ya linta, na madarasa 2 yamepauliwa
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi
S/M Chihuve
Mradi upo hatua ya linta
Ujenzi wa madarasa 3 na ofisi ya walimu
S/M Muungano
Mradi upo hatua ya boma
Ujenzi wa madarasa 4 na ofisi
Nyumba ya mwalimu
S/M Nawaje
Mradi wa madarasa 2 na ofisi upo hatua ya linta.
Ujenzi wa madarasa 3 na ofisi
S/M Mangaka
Mradi upo hatua ya kuta
Ujenzi wa madarasa 5 na ofisi na matundu 10 ya vyoo
S/M Tuleane
Mradi upo hatua ya kuta, matundu ya vyoo upo katika hatua ya kupaka rangi
Ujenzi wa madarasa 3
S/M Likokona B
Mradi upo hatua ya kupiga kenchi
Ujenzi wa madarasa 3
Satelite  ya Mwenge
Mradi upo hatua ya boma
Ujenzi wa madarasa 3
Satelite ya Namarupi
Mradi upo hatua ya ujenzi wa kuta
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi
S/M Nakatete
Mradi upo hatua ya Umaliziaji
Ujenzi wa madarasa 2 na Ofisi
S/M Mitimingi
Jengo lipo hatua upauaji
Ujenzi wa madarasa 3
 Likokona
Mradi upo hatua ya upauaji
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi
S/M Chipuputa B
Mradi upo hatua ya linta
Ujenzi wa madarasa 3
S/M Mikangaula
Mradi upo hatua ya boma
Ujenzi wa madarasa 3
S/M Chinyanyila
Mradi upo hatua ya umaliziaji
Ujenzi wa madarasa 2 na matundu 10
S/M Makanya
Mradi upo hatua ya ufyatuaji tofali na matundu 10 yapo hatua ya ujenzi wa msingi wa mabanda
Ujenzi wa madarasa 2
S/M Maneme
Mradi upo hatua ya linta
Ujenzi wa madarasa 3
S/M Ngupe
Mradi upo hatua ya upauaji
Ujenzi wa nyumba 6 za walimu
S/M Chungu
Nyumba 1 ipo hatua ya umaliziaji, Nyumba 2 hatua ya upauaji, nyumba 2 hatua ya boma, msingi 1
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu
S/M Mikuva
Mradi upo hatua ya KUTA
Mradi wa madarasa 2, nyumba ya mwalimu na matundu 10 ya vyoo
S/M Liunga
Mradi upo hatua ya ujenzi wa shimo, nyumba ufyatuaji tofali, na madarasa
Ujenzi wa nyumba 2 za walimu na vyoo matundu 8
S/M Chipuputa
Hatua ya msingi na vyoo hatua ya boma
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu
Nandete
Hatua ya linta
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu
Lumesule
Hatua ya kuta
Ujenzi wa nyumba ya mwalimu na madarasa 3
Mnonia
Hatua ya lipu, madarasa yapo hatua ya msingi
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi
Maratani
Hatua ya kuta
Ujenzi wa madarasa 2 na ofisi ya Walimu
Ndwika II
Hatua ya upauaji na kupiga lipu
Ujenzi wa nyumba ya Mwalimu
S/M Makong’ongera
Hatua ya kupiga lipu
Ujenzi wa madarasa 4, nyumba ya mwalimu na vyoo
Kata ya Maratani
Ujenzi upo hatua ya upauaji /lipu
Ujenzi wa madarasa 4, ofisi 2 na vyoo
Kata ya Masuguru
Ujenzi upo hatua ya upigaji lipu
Ujenzi wa maabara
Nandete Sekondari
Ujenzi upo hatua ya upauaji

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.