• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu Yaadhimisha Siku ya Usafishaji Duniani kwa Kufanya Usafi Mangaka

Posted on: September 20th, 2025

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu (mwenye kofia katikati) akizungumza na wananchi waliohudhuria zoezi la usafi

Na; Lunanilo Ngela

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Christopher Edward Magala, amewataka wananchi wa wilaya hiyo kuhakikisha wanatunza mazingira kwa kufanya usafi katika makazi yao, ili miji na vijiji vya Nanyumbu viwe safi na vyenye kuvutia.

Akizungumza Septemba 20, 2025 wakati wa maadhimisho ya Siku ya Usafishaji Duniani (World Clean-up Day) yaliyofanyika kwa kufanya usafi katika mji wa Mangaka, Mhe. Magala amewakumbusha watumishi wa umma na wananchi kushiriki kikamilifu katika shughuli za usafi na utunzaji wa mazingira.

Maadhimisho hayo nchini Tanzania huratibiwa na Wizara ya Afya kwa kushirikiana na Ofisi ya Rais – TAMISEMI, ambapo taasisi za umma, binafsi na jamii huungana na nchi zaidi ya 190 duniani kushiriki katika kutunza mazingira na kudhibiti taka kwa usahihi.

Kaulimbiu ya mwaka 2025 ni “Tunza Mazingira kwa Kuzipa Taka Thamani”, ikilenga kuhamasisha jamii na wadau kushiriki katika urejelezaji (recycling) na matumizi mbadala ya taka (re-use), ili kupunguza athari zinazotokana na taka zisizodhibitiwa.



Matangazo

  • Tangazo la Mikopo kwa Vikundi vya Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Robo ya I na ya II 2025/2026 September 18, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yaadhimisha Siku ya Usafishaji Duniani kwa Kufanya Usafi Mangaka

    September 20, 2025
  • Elimu ya Saratani ya Matiti Yatolewa kwa Viongozi na Watoa Huduma za Afya ya Msingi Nanyumbu

    September 12, 2025
  • Nanyumbu Yanoa Watumishi Wapya Kupitia Mafunzo Maalum

    September 03, 2025
  • DC Magala: “Msipokee Wafugaji Kinyume cha Taratibu”

    September 01, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.