• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Nanyumbu kutekeleza Mradi mkubwa wa mazingira unaofadhiliwa na Benki kuu ya Dunia

Posted on: July 10th, 2020

Katika picha ni Mkuu wa Wilaya Nanyumbu Mhe. Moses J. Machali akiwa katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri Nanyumbu


Na, Lunanilo L.Ngela

Nanyumbu ni miongoni mwa Halmashauri 86 nchini Tanzania zinazotekeleza Mradi wa Usafi na Mazingira katika Vituo vya kutolea huduma za Afya na Kaya. Mradi huu unafadhiliwa na Benki kuu ya Dunia na utatekelezwa kwa miaka sita (2019-2025).

Akizungumza katika kikao cha Kamati ya Afya Msingi Wilaya kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri Mhe. Moses J. Machali, amesema kuwa Mradi huo wa Lipa kwa Matokeo (PfoR) unalenga kuboresha usafi na mazingira katika jamii na hivyo kuwataka wajumbe wa Kamati kuhakikisha wanatekeleza vizuri mradi huo ili kuleta matokeo chanya.

Afisa Afya wa Wilaya Ndg. Iliasa S. Matandiko amesema kuwa Wilaya ya Nanyumbu imepokea Shilingi 272,830,523.79 kwa ajili ya mradi huo. Aidha, utekelezaji utafanyika kwa vituo 10 vya kutolea Huduma za Afya kwa kujenga vyoo bora vya wagonjwa na watumishi, kuweka mifumo ya maji ya bomba, kuweka sehemu za kunawia mikono maeneo yote mhimu na kuweka bafu wodi za wazazi

Ili kufanikiwa kwa mradi huo wa usafi na mazingira, wananchi wote wanahamasishwa kutumia vyoo bora. Vigezo vya vyoo bora ni lazima kiwe cha kisasa au cha shimo chenye sakafu au ekolojia, choo chenye kuta na mlango kinachosafishika.

Wajumbe wa Kikao hicho wametoa shukrani zao za pekee kwa wafadhili wa mradi huo na wameahidi kuutekeleza vizuri na kwa wakati ili kuboresha miundombinu ya usafi na mazingira.


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DAS Kanyinda Awapongeza Waganga Wafawidhi Nanyumbu

    August 26, 2025
  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.