• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Baraza la Madiwani Nanyumbu lamchagua Makamu Mwenyekiti na wenyeviti wa kamati

Posted on: August 19th, 2018

Mhe. Benjamini R. Masimbo akitoa shukrani kwa wajumbe wa Baraza la Madiwani baada ya kuchaguliwa kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri katika uchaguzi uliofanyika mapema leo Tarehe 19/Agosti/2018 katika ukumbi wa Halmashauri

Mkutani wa Baraza la Madiwani wa mwaka 2017/2018 umekamilika mapema leo katika ukumbi wa Halmashauri huku wajumbe wa mkutano huo wakipata nafasi ya kufanya uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri na wenyeviti wa Kamati za kudumu. Akizungumza katika mkutano huo, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu Mhe. Ahamad B. Mchopa amesema kuwa kila mwaka wajumbe wana jukumu la kumchagua Makamu Mweketiti wa Halmashauri pamoja na wenyeviti wa kamati za kudumu kwa mujibu wa Kanuni za kudumu za mikutano na shughuli za Halmashauri.

Uchaguzi wa kumpata Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri hufanyika baada ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri kupokea majina ya wagombea kutoka vyama mbalimbali vinavyotaka kushiriki uchaguzi. Katika uchaguzi wa mwaka huu ni Chama cha Mapinduzi pekee kilichowasilisha jina la mgombea wa nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri Mhe. Benjamin R. Masimbo na kuwafanya wajumbe kupiga kura kumi na sita (16) za ndiyo na kura moja (1) kuharibika.

Ifuatayo ni orodha ya viongozi waliochaguliwa:-

  • Mhe. Benjamin R. Masimbo - Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Nanyumbu
  • Mhe. Ahamad B. Mchopa - Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango
  • Mhe. Rajabu A. Mrope - Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Jamii (Elimu, Afya na Maji)
  • Mhe. Salum M. Mmole - Mwenyekiti wa Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
  • Mhe. Benjamin R. Masimbo - Mwenyekiti wa Kamti ya kudhibiti UKIMWI

Kwa mujibu wa Kanuni za Kudumu za mikutano na shughuli za Halmashauri zilizotungwa chini ya kifungu cha 70 cha Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Na. 7 ya mwaka 1982 Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na wenyeviti wa Kamati za kudumu watakuwa madarakani kwa kipindi cha mwaka mmoja. Waheshimiwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu wakizungumza na Afisa Habari wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Lunanilo L. Ngela nje ya ukumbi wa mkutano na baada ya washindi wa uchaguzi kutangazwa wamesema kuwa uchaguzi ulikuwa huru na wa amani. Aidha, wameahidi kushirikiana bega kwa bega na uongozi mpya ulioingia madarakani.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.