• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

MAFUNZO YA UHUISHAJI WA KANZIDATA YA WAKULIMA WA KOROSHO KWA MWAKA 2024/2025 YATOLEWA WILAYANI NANYUMBU.

Posted on: February 17th, 2025

Bodi ya Korosho Tanzania  kwa Kushirikiana  na Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu Leo tarehe 17 February 2025 imefanya Mafunzo kwa Vitendo ya Matumizi ya Vifaa vya Kielektroniko (Vishikwambi) Kwaajili ya Uhuishaji wa Kanzidata ya Wakulima wa Korosho kwa Mwaka 2024/2025 Katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya.

Mafunzo hayo yametolewa siku moja (1) kwa Maafisa Ugani Kilimo wa Jenga kesho iliyobora Katika zao la Korosho (BBT Korosho) na Maafisa Ugani Kilimo  wa Halmashauri ngazi ya Kata (WAEOS) Ambapo zoezi hilo la Uhuishaji wa Kanzidata ya Wakulima Litadumu Mpaka tarehe  31 March , 2025.

Jumla ya Washiriki arobaini na tano (45) wamepatiwa Mafunzo hayo ikiwa 23 ni Maafisa  Kilimo  wa Jenga kesho iliyobora Katika zao la Korosho na Waahiriki 22 ni Maafisa Ugani Kilimo kata kutoka  Halmashauri  ya Nanyumbu. Aidha,  Maafisa Ugani hao Walifundishwa pia Mfumo wa kidigitali wa Usambazaji wa Mbolea za ruzuku (Agriculture  input Subsidy System _AISS) Uliopo Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA).

Akizungumza katika Mafunzo hayo, Mgeni Rasmi,  Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Nanyumbu Ndugu,  Philipo Sengela Aliwashauri Maafisa Kilimo kutoa Elimu kwa Wananchi Kuhusu zoezi hili ili waweze Kushiriki kikamilifu Sambamba na Kuwaasa Washiriki kuwa Waadilifu na Kuzingatia waliofundishwa ili kufanikisha zoezi hili kwa pamoja la Kufikia lengo la Serikali la Maandalizi ya Uzalishaji wa Korosho  ghafi Msimu wa Mwaka 2025/2026.

Mafunzo hayo pia yaliambatana na zoezi la Ugawaji wa Vishikwambi kwa Maafisa Ugani Kilimo wa Jenga Kesho iliyobora katika zao la Korosho  Sambamba na Zoezi la Kusaini Mikataba lililoongozwa na Afisa Udhibiti Ubora,  Ndugu  Desdery J.Karugaba.

Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • DC MAGALA AKABIDHI KIASI CHA SHILINGI MILLIONIMOJA SHULE YA MSINGI MWAMBANI.

    March 12, 2025
  • WANAWAKE NANYUMBU WAADHIMISHA SIKUYAO KWA MAANDAMANO NA KUMSHUKURU RAIS SAMIA KWA KUWAWEZESHA WANAWAKE.

    March 07, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.