• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Mafunzo ya Udereva Nanyumbu kuanza rasmi

Posted on: July 24th, 2018

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Salum A. Palango (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Usalama barabarani pamoja na Mshauri wa Jeshi la akiba.

"Future World Vocationi" ni Taasisi inayoendesha mafunzo ya udereva ikishirikiana na Jeshi la POLISI kitengo cha Usalama Barabarani. Lengo la Taasisi hii ni kuwapatia mafunzo madereva wa magari na pikipiki katika miji na vijiji ili kuondoa kabisa ajali za Barabarani. Mratibu wa Mafunzo hayo Ndugu David Haruna Mkenza amesema kuwa Taasisi hiyo itaendesha mafunzo ya udereva kwa wiki mbili katika Wilaya ya Nanyumbu kuanzia Tarehe 27/07/2018 siku ya Ijumaa. Lengo kuu la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo wa kutosha madereva ili kufanikisha suala la usalama barabarani. Ndugu David Mkenzi amesema mafunzo haya yataanza saa 10.00 jioni hadi saa 12:00 Jioni ili kuwapa nafasi watu mbalimbali wakiwemo watumishi wa umma kushiriki. Aidha, ameongeza kwa kusema kuwa mafunzo haya yataendeshwa katika Mji wa Mangaka na katika kata mbalimbali za Wilaya ya Nanyumbu.

Katibu Tawala wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Salumu A. Palango amepongeza juhudi kubwa zinazofanywa na Jeshi la POLISI katika Wilaya ya Nanyumbu katika kuhakikisha ajali zinatokomezwa kabisa. Aidha, amesisitiza kuwa wale wote wanaomiliki vyombo vya moto na hawajapata mafunzo ya udereva wahakikishe wanahudhuria mafunzo ya udereva ili kuepukana na ajali barabarani. Katibu Tawala akizungumza katika kikao hicho Ofisini kwake amesema kuwa mafunzo haya yatawasaidia wanachi mbalimbali na hasa wamiliki wa pikipiki (bodaboda) ambao bado hawajapata mafunzo ya udereva na wangependa kuendesha vyombo hivyo vya usafiri.

Mkuu wa Kitendo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Nanyumbu Afande Nicodemas (DTO) amesema kuwa ni lazima madereva kutumia taaluma yao ya udereva vizuri ili kuepusha ajali barabarani. Aidha, amesisitiza kuwa mafunzo haya ni mhimu sana kwa wale wote wanaomiliki vyombo vya moto barabarani ili kuwajengea uwezo wa kuendesha kwa usalama. Nae Mratibu wa Mafunzo ya Usalama Barabarani Afande Mwambe amesema wananchi waitumie fursa hii kupata elimu ya udereva inayowafuata mpaka vijijini ili kuhakikisha ajali zinakoma kabisa. Wananchi mbalimbali wakizungumza na Afisa Habari wa Wilaya ya Nanyumbu Ndugu Lunanilo L. Ngela wamekipongeza sana kitengo cha Usalama Barabarani kwa kusimamia na kuratibu  mafunzo haya mara kwa mara kwa madereva ambayo yamesaidia sana kupunguza ajali za barabarani. Aidha, wameiomba Taasisi ya Future kuleta mafunzo hayo mara kwa mara kwana idadi kubwa ya watu wananunua vyombo vya usafiri na hasa pikipiki.


Matangazo

  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Mafunzo ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji Vifaa vya Bayometriki January 23, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yang’ara Mbio za Mwenge wa Uhuru 2025

    May 17, 2025
  • Afisa Mwandikishaji Nanyumbu Awataka Washiriki wa Mafunzo Kuhakikisha Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Wapiga Kura Linatekelezwa kwa Ufanisi

    May 14, 2025
  • DC MAGALA AWAASA WAJUMBE WA MKUTANO MKUU WA CWT NANYUMBU KUCHAGUA VIONGOZI BORA NA SIO BORA VIONGOZI.

    March 19, 2025
  • KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

    March 17, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.