• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

KAMATI YA MWENGE MKOA WA MTWARA YAFANYA ZIARA KUKAGUA MAENDELEO YA MIRADI ITAKAYOPITIWA NA MWENGE NANYUMBU.

Posted on: March 17th, 2025

Kamati ya Mwenge wa Uhuru ya Mkoa wa Mtwara imefanya Ziara ya Ukaguzi wa Miradi sita  (6) inayohusiana na Maandalizi ya Mapokezi ya  Mwenge wa Uhuru 2025  Unaotarajiwa Kupokelewa Tarehe 17/5/2025 katika Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu.  Ziara hiyo Imefanyika leo, marchi 17. 2025, ikiongozwa na  Mratibu wa Mwende Mkoa Ndugu,Herinely Chipindula  Pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya Nanyumbu na Wataalamu Ngazi ya Halmashauri Nanyumbu.


Katika ziara hiyo, kamati Imetembelea na Kukagua maendeleo ya Mradi wa ujenzi wa  Madarasa mawilina Ofisi ya Mwalimu  katika shule ya Msingi Nachiura, Ambapo mpaka sasa Ujenzi huo upo katika hatua ya asilmia 70 ya Utekelezaji. Kamati imefurahishwa na Hatua iliyofikiwa, ikieleza matumaini makubwa ya kukamilika kwa mradi huo kwa wakati.

Vilevile , kamati hiyo imetembelea Mradi wa shamba la miti lililopo kata ya Sengenya, kijiji cha chinyanyila na Kujiridhisha na shamaba hilo na kutoa pongezi kwakueleza faida za upandaji miti ikiwa pamoja na kuongeza mapato, upatikanaji wa mvua. Na kushauri kuwekewa kwa njia nza Kuzuia moto.

Miradi mingine Ambayo Imekaguliwa na Kamati hiyo Leo ni Pamoja Mradi Zahanati ya Namaguluvi, Ukarabati na Upanuzi wa mradi wa maji Holola, Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya MSANGI  (0.61 KM)  na JEROME (0.39 KM) Kwa kiwango cha Lami  Pamoja na Mradi wa Vijana – Bodaboda (Mangaka). Uliowezeshwa kwa Asimia kumi (10%) kutoka Halmashaui ya wilaya.

Aidha, kamati imepongeza Uwepo wa Miradi hiyo na Kutoa Ushauri pamoja na maoni kwa nia ya Kuboresha Zaidi ikiwa pamoja na Upewaji wa Mafunzo  ya Udereva kwa vijana (bodaboda),  Muda sahihi wa Mrejesho na Kusisitiza umuhimu wa miradi hiyo kukamilika kwa wakati ili kutimiza malengo.

Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu. Mhe. Christopher Magala, aliishukuru kamati hiyo kwa ushauri wao na kuwataka Wataalamu wa Halmashauri kuyatendea kazi yale yote yaliyoshauriwa kutendewa kazi kwa ufanisi na uharaka ili kuendana na Mlengo yetu.

Ofisi ya Waziri Mkuu

Ofisi ya Rais - Tamisemi

Christopher Magala

TBConline

Mwananchi Communications Limited

Matangazo

  • Tangazo la Nafasi za Kazi za Muda za Watendaji wa Vituo vya Kupigia Kura kwa Ajili ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 July 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Nanyumbu Yatikisa Matokeo ya Kidato cha Sita 2025

    July 10, 2025
  • Kutoka Darasani Hadi Gereji: Binti Mdogo Naishero Sekondari Anayesoma na Kufanya Kazi ya Uchomeleaji

    July 03, 2025
  • “Nanyumbu: Lango Jipya la Uwekezaji Kusini”

    June 25, 2025
  • DAS Kanyinda Apongeza Mchango wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Nanyumbu

    June 21, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.