• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Nanyumbu District Council
Nanyumbu District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Vision and Mission
    • Maadili ya Msingi
    • Strategies
  • Utawala
    • Muundo
    • Divisheni
      • Infrastructure, Rural and Urban Development
      • Health, Social Welfare and Nutrition Services
      • Industry, Trade and Investments
      • Pre-Primary and Primary Education
      • Elimu Sekondari
      • Maendeleo na Ustawi wa Jamii
      • Agriculture, Livestock and Fisheries
      • Planning and Coordination
      • Human Resource Management and Administration
    • Vitengo
      • Usimamizi wa Taka na Usafi wa Mazingira
      • Natural Resources and Environment Conservation
      • Michezo, Utamaduni na Sanaa
      • Fedha na Biashara
      • Legal Services
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Manunuzi na Ugavi
      • Information and Communication Technology
      • Government Communication
    • Wards
      • Chipuputa
      • Mangaka
      • Kilimanihewa
      • Sengenya
      • Kamundi
      • Maratani
      • Nandete
      • Nanyumbu
      • Mkonona
      • Masuguru
      • Likokona
      • Michiga
      • Napacho
      • Lumesule
      • Mnanje
      • Mikangaula
      • Nangomba
    • Villages
  • Fursa za Uwekezaji
    • Kilimo
    • Utalii
      • Hifadhi ya Wanyama ya Lukwika Lumesule
      • Daraja la Mtambaswala
      • Sehemu za Kiutamaduni, Ngoma za Asili na Sanaa za Mikono
    • Elimu
      • Ujenzi wa Vyuo Vikuu
      • Ujenzi wa Vyuo vya Kati
      • Ujenzi wa Shule Binafsi
    • Maeneo ya Viwanda
    • Ujenzi wa Mahoteli
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Watumishi
    • Ujasiriamali
    • Biashara
    • Ushauri katika Kilimo
    • Vibali vya Ujenzi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Utawala na Mipango (FUM)
      • Kamati ya Elimu, Afya na Maji
      • Kamati ya Huduma za Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Itakayotekelezwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
    • Taarifa Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma

Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

Posted on: August 9th, 2025

Na; Lunanilo Ngela

Zaidi ya shilingi milioni 30.1 zimetolewa kama zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mitihani ya Taifa, walimu waliowawezesha wanafunzi kupata alama za juu (“A” na “B”), pamoja na shule zilizong’ara kitaaluma mwaka 2024.

Zawadi hizo, pamoja na vyeti vya pongezi, zilitolewa na Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu, Mheshimiwa Christopher Edward Magala, wakati wa maadhimisho ya Juma la Elimu ngazi ya wilaya yaliyofanyika Agosti 10, 2025, katika ukumbi wa Shule ya Wasichana Mkapa.

Katika maadhimisho hayo, mgeni rasmi Mheshimiwa Magala alipata fursa ya kutembelea maonesho mbalimbali ya kisayansi yaliyoandaliwa na wanafunzi na walimu, na akapongeza ubunifu huo kuwa na mchango mkubwa katika kuinua elimu ya sayansi na teknolojia.

Akisoma risala ya elimu, Kaimu Afisa Elimu Sekondari wa Wilaya, Ndg. Seif Zuber, alieleza mafanikio makubwa ya kitaaluma, ikiwemo ufaulu wa asilimia 100 kwa Kidato cha Sita 2024, asilimia 90 kwa Kidato cha Nne, na asilimia 82 kwa Kidato cha Pili.

Hata hivyo, alibainisha kuwa tatizo la utoro wa kudumu na rejareja katika shule za msingi na sekondari linaendelea kuathiri sekta ya elimu. Mkuu wa Wilaya alisisitiza kuwa jitihada zaidi zinahitajika kukabiliana na changamoto hiyo.

Juma la Elimu huadhimishwa kila mwaka katika ngazi ya kata, wilaya, mkoa na taifa, ambapo wadau hutathmini mwenendo wa elimu na kupanga mikakati ya kukabiliana na changamoto.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka 2025 ni: “Sayansi na Teknolojia kwa Maendeleo ya Taaluma na Mazingira, Jitokeze Kushiriki Uchaguzi Mkuu 2025.”


Matangazo

  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI August 02, 2025
  • Tangazo la Nafasi za Kazi August 09, 2024
  • Tangazo la Majina na Mipaka ya Vijiji na Vitongoji September 16, 2024
  • Maelekezo ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 September 26, 2024
  • Ona yote

Habari Mpya

  • Juma la Elimu Lafana Nanyumbu: Walimu na Wanafunzi Bora Wazawadiwa Milioni 30

    August 09, 2025
  • Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi Nanyumbu Wapigwa Msasa Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    August 06, 2025
  • Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025: Njaro Awataka Wasimamizi wa Uchaguzi Kuzingatia Katiba, Sheria na Miongozo ya INEC

    August 04, 2025
  • Nanyumbu Yajipanga Kukusanya Bil. 4.7 Mwaka 2025/2026 – DED Mwanauta Atoa Maelekezo Muhimu

    July 14, 2025
  • Ona yote

Video

Kituo cha mabasi Mangaka
Video zaidi

Kurasa za Haraka

  • HUDUMA ZA BIASHARA
  • MIONGOZO MBALIMBALI
  • RATIBA YA VIKAO VYA HALMASHAURI
  • ORODHA YA WAHESHIMIWA MADIWANI
  • UTALII NANYUMBU

Tovuti Mashuhuri

  • TOVUTI KUU YA IKULU
  • TOVUTI YA OR-TAMISEMI
  • TOVUTI YA UTUMISHI
  • TOVUTI YA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU
  • TOVUTI KUU YA SERIKALI

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Eneo la Ramani

Wasiliana nasi

    Halmashauri ya Wilaya Nanyumbu

    Anwani ya Posta: 246, Masasi

    Simu: 0232934112/3

    Simu za Mikononi:

    Barua Pepe: info@nanyumbudc.go.tz

Other Contacts

   

    • Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Hatimiliki © 2017 Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu. Haki Zote Zimehifadhiwa.